Vingine vikiwa vinaleta habari na vengine vikiwa na kutumika
kutokana na matumizi yake,hata habari ni matumizi maana imetumika kupitia
hivyo,ikiwa kuna waheshimiwa wanahaki ya kuonekana katika vyombo hivyo,ikiwa ni
majanga ama iwe ni namna yoyote ya kumtaka mwanadamu aweze kupata
ufahamu,ufahamu ni jambo jema sana na kwa Yule anayefahamishwa ameelewa,maana
ni lazima uelewe hata ya kuwa haukupanga kuelewa,hizi ni bidhaa,kuanzia pale
inapoanzwa kutengenezwa mpaka inapofika,bidhaa mara nyingine huwa zinamtindo wa
kuchacha na baadaye kuharibika ikiwa ni mwisho wa matumizi ya bidhaa hiyo,ni
haki lakini ni dhahma kwa lile linaloendelea na kutaka faida wakati bidhaa
kiujumla zimechacha,tutaharibiana matumbo hata kama ni wazi tuna njaa ya siku
tatu.hazipaswi nyingine kukaa katika vyombo vya habari.
Leo utasikia waziri kafanya hili na kesho tusisikie nabii
kafanya nini,hili linaashiria kutokufanya kwamba,haimaanishi watu wanakwepa
majukumu yao ama vile ilivyo kwa upendeleo,hii ni namna ya vyombo
vilivyoelekezwa ni vipi viweze kubeba chakula,maji,maono na masomo,pengine
ikiwa kama abiria katika usafiri,na kama itatokea ajari basi hapa ndiyo
tutaizungumzia yaliyojiri,vyombo vikiwa na mlengo zaidi wa mwenye chombo kuliko
Yule anayeuziwa bidhaa,ama kweli hii ni
biashara,ingawa haina maana ya kushangaa,pengine ikiwa mambo ni baadhi ya
yaliyopo katika chombo kilichotubeba.
Dunia ikiwa kama ni chombo mahususi ambacho kimsingi
tumeweza kuwa humo,kama kutumika mpaka tunaisha,mara nyingi vyombo ni vile
tunavyokuwa navyo ama tunavyoviacha baada ya sisi kuwa na hitaji la namna
nyingine,pengine ikiwa .pengine tuangalie kile tunachokiweka katika chombo ali
mradi kikakaa vyema,pengine hata jamii ikaelewa kama sio kueleweshwa,maana kwa
vyombo vingine hata kama vimejaa watu wanapanda tu,bila kujua chombo chenyewe
hakisemi,vingine hivi tunavyowaandika watu ili taarifa ziwafikie zisiwe
kumchafua ali mradi ukauza,maana hao wanaochafuka wakiamua kuchafua kweli
inawezekana kukosa hata mahala pa kuziweka bidhaa,ama na wao wauze hata bidhaa zikawa hakuna.abiria jichunge..mizigo
haibebwi.