Sunday, August 5, 2012

MIPAKA..


Leo imefika tunagombana kwa yale tuliyoyashindwa jana,pengine haikuleta faida sana,ama hasara ikiwa endapo kama tunaweza kukaa na mali na bila ya kuziendeleza basi ni tumeshindwa kabisa,hii ikiwa mali zenyewe zinaendelezeka,inapofika mwisho wa jambo ni haki kuweka alama ikiwa ni kwako,hii haki..maana ni dhuruma kwa mwengine kuichukua.tusifikiri tumeishi zamani  na ya kutamani tutayaweza,zisije fikra zenyewe kwani wengine wameshasema wakijiandaa mapema.leo ikiwa mwisho kulipia haina maana ya kesho usilipe,ila kama ilichukulika bila ya malipo ya kuelewana kuna uwalakini wa kutokuelewana zaidi,hasa mzazi anapomwambia mwana mpaka wako wa kucheza ni mwisho hapa.

Ni wazi ya kuonekana hayafichiki,tuseme vingine vipo wazi lakini vinahitaji ubishi,maana kama kuna kukubari haraka haraka hata itakuja siku tuwakatae wazazi wetu,kama walivyo wengine tayari kuona mipaka yao kwa wazazi wao,maana  mmoja atasema huyu sio mama yangu na mwengine atasema wala baba.hapo tukivuka mipaka bila  ya kufahamu kama mwisho wa safari ndiyo mwanzo maana yapasa kujipanga upya.

Leo unaweza kugombana sana,pengine watakufa wachache na kwa wengine ikawa maana,
maana unaweza kujiuliza tangia siku zote hizo ulikuwa wapi?
hapa ikiwa  tunataka sababu.kama kwa mungu hakuna mipaka basi hakuna anayejua,
maana hii yetu sijui tumeitoa wapi ikiwa bado tutaendelea kung’ang’ania hata vile visivyo vyetu,mwishoni kueleweka mambumbumbu kwani hata na kuingia shuleni hakuna cha zaidi ya kufanyia tulichojua zaidi ya mipaka ya shule yenyewe,unapoambiwa uingie chumbani kwa baba sio uzungu ni muvi za video tu hizo,waache wakubwa wanaongea watafikia mwisho wa mipaka yao.

LIFETIME..

Life is undetermined, and this if most of us do not understand in what we call large percentage, not as we want to do our things that influenced by external objects, as well as finding that what it was in detail on positive thoughts about you, if its love, faith, and other things that surrounding us, we say and think that we loved because we never hated, if each one explains what he/she is feeling and will in the world through his/her lifetime. That will be a lifetime.

Fewer and much else seems in as one he/she saw, perhaps as a parent batters son hit, I do not know if the son he is considering on what, for such an error would have been told he would understand, even seventy times that at the time noted and thought well, maybe we know the parent is concerned about what after penalty therefore,the child would probably have restored? Or imagine how it can be unfortunately? Few here will understand that of large percentage..!!For those who choose to live in such a way to appreciate their lives as a smooth load.

Perhaps we will give judgment here in the world, when we have not understood why some of things happen in our lives, perhaps become we understand but not as most of it is, or its smaller than everyone understood as one suppose to understood him/her self, for should not understand other than you, because as was heard, 'A' another said, 'B', each one will tell us how he/she heard and say, or perhaps we should have learned abroad.

ELEWA 2

  Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye na kukataa kuelekea hata kwa ku...