Thursday, January 26, 2012
Makaya's Forum: HATA TUSINGEFIKA BILA MENGINE KUTOKEA.
Makaya's Forum: HATA TUSINGEFIKA BILA MENGINE KUTOKEA.: Kufika sio kuwahi,yaweza kuwa kuwapo ama kutangulia,na yale yanayotokea sio lazima kupanga kwani mara nyingi huwa hatupangi sisi zaidi ya m...
Makaya's Forum: UNAPOTAFUTA LAZIMA UTAMBUE UNATAFUTA NINI !!.
Makaya's Forum: UNAPOTAFUTA LAZIMA UTAMBUE UNATAFUTA NINI !!.: Kutafuta ni kuhitaji katika wakati Fulani pale mwanaadamu anapoihusisha nafsi yake kupitia mapendo ,tukisema watu wanaenda tu kutafu...
UNAPOTAFUTA LAZIMA UTAMBUE UNATAFUTA NINI.
Unapotafuta na kuhitaji kitu wakati Fulani pale mwanaadamu anapoihusisha nafsi yake kupitia mapendo ,nikisema watu wanaenda tu kutafuta maisha maswali yanaweza kuwa ni mengi tena isiwe ni kwenda tu baada ya kuulizwa unatafuta nini hata sielewi kama yalifichwa ila itakuwa ni ile sehemu iliyopo katika akili zako za kuweza kutafuta kitu kilichopo,kama ilivyo hesabu unaweza ukawa unajua majibu na usijue nini njia yenyewe,kila jibu linatokana na yale yaliyopo njiani pia ikiwa mtu ameishia gerezani kwa ajili ya kuiba si kwamba naye aliiba katika njia zake zote,yaweza kuwa alienda kwa sababu aliiba katika njia moja na watu wakapata kujua kuwa Yule ni mwizi,ni vigumu kuishi ukiwa unajua hupendwi,hata ikawa unapendwa basi chuki zikawa ndani ya watu wengine juu yako,hauwezi kujua wanaokuchukia bila ya wewe kuwa na chuki pia,ni kweli kwani hata ukamwona simba anapita barabarani kitakacho fuata ni kukimbia,na kama itakuwa wataamua wachache ndiyo wakaweze mdhibiti simba huyo,au useme vyovyote itatokea kwani matokeo huwa ni tofauti daima kama ilivyo kwa wanaotoa majibu na sio majibu yenyewe.katika maisha hakuna kujaribu zaidi ya majaribu
maisha yenyewe hayatafuti,yapo yamekaa yakiwa yana mengi mengine yapo mbali,yameonekana kwa walio lakini kwa wachache hawana budi kuinama uvunguni,kwani limeshakuwa sharti kwa kile cha uvunguni unachokihitaji kukiinamia,miguu haiji mikono bora endapo mikono ipo,na kama ungelizoea kula majani au miti nadhani juhudi za kupanda miti zingeongezeka,unatafuta pesa na hauelewi ununue nini,ikiwa unataka ununue.unatafuta pesa unakuwa na malengo ya kufanya vitu na vitu hivyo vinakuwa kama havikupangwa,kumbe pesa sio kitu pekee kinachomuzesha mtu kufanya jambo,ikiwa unaweza kuwa na nia ya kutaka kufika mahala katiks maisha,unaweza kujua ni nini unahitaji na tatizo sio kutafuta,sio nguvu,wala mtafutaji,ikiwa mtafutwa yupo na hata hizo sababu za kutafutia zinaweza zisiwe na maana zaidi endapo mtafutaji hajui pa kutafutia.
Ndugu yangu kwa chochote kinachotafutwa ni lazima kiwe na mlengo wa mafanikio,ndiyo hata watu walio na utajiri wamefanikiwa katika upande mmoja ya kuwa nao wana uwezo wa kupata kile wanachokitafuta,kumbe pesa ni daraja la mafanikio,na mafanikio ni mafaniko yenyewe.shabaha na mlengo unahitajika tena ikiwa mimi au wewe ndiyo unahitaji mafanikio,sijui itakuwaje ukipata unavyovitafuta,sijui unatafuta nini maana kwa kujua unachokitafuta utaweza kuelewa itakuwa ni namna gani pale utakapo pata,na ukipata ijulikane,maana kama ni pesa wengi wamezipata na wanazo ikiwa haujasikia mmoja wapo akisema nimezipata.lakini ya kuwa mtihani wanafanya wengine,wanasahihisha wengine na washangiliaji watakuwa wengine pia,kwa yule anayefanya mtihani ijulikane amelenga kupata maksi gani.
By: Benson G, Makaya,
Subscribe to:
Posts (Atom)
Makaya's Forum: ELEWA 2
Makaya's Forum: ELEWA 2 : Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye n...
POPURAL POSTS
-
Kule kwetu kuna mahala panaitwa makunguru,ali hali ingalikuwa nzuri tungalihamishia ikulu, mambo yamekuwa mengi hata ya kujisti...
-
Yafanye mapito yako kuwa nguvu inayokusukuma kwenda mbele ukitegemea kuishi ndoto zako na sio kile unachokiogopa na kuhofia,wengi hawafanyi...
-
Kufikiri ni kuwa na hitaji la kurekebisha jambo,kunatokana na mawazo,kwa hiyo fikra zinaweza kuwa ni mawazo,kufikiri ni kitendo,kure...
-
Unaweza kufanya jambo bila hali yoyote,maana kutokuifikiria na hata ikikatalika mwanzo mwishoni ukikosea utasema samahani,kwa sababu u...
-
Sometimes you can find strong powers of concentration in yourself. When you really and earnestly want to excel in your studies, pass an...
-
» Most people with personality disorders have what is sometimes referred to as "disorders of the self," because they often do...
-
When there is darkness , we need light... Light is direction , light makes the appearance to be consistent if the view ...
-
Lugha ni chombo cha mawasiliano,watu huwasiliana kupitia lugha tofauti ikiwa nao wako tofauti,bila ya kuzungumzia nadhifu za nje,lugh...
-
Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye na kukataa kuelekea hata kwa ku...
-
More of my love for you, you increase your pocessions and with how they can, You make me, When you give me the courage which is suitab...