Katika maisha unapaswa kuwa na malengo na maono,
malengo ni
kujua namna gani mwanadamu unaweza kuishi,ikiwa tofauti na maono ni namna gani
unaweza kuyakamilisha yale yaliyo katika namna gani unavyoweza kuishi,pengine
ikiwa ni kwa nafsi moja tu ama ikawe katika ukuaji wa pamoja na ikiwa
kiimani,akili na nguvu kiujumla,hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kumfanyia
mwingine,labda sio maisha,pengine itakuja wakati na kusema hapa sikufanya na
pale ilifanyika maana malengo yakiwa ni mengi kuliko maono.
Una muda na nafasi ya kuweza kutambua mahali ulipo zaidi ya
duniani,
maana kama ni lengo basi lilifikirika,na likaonekana tena kwa mbali
ndiyo huwa nzuri zaidi maana ya kufanyika kiuhakika,unaiona vyema,unajiandaa,pengine ikifahamika kabisa
kwamba maisha mengine hapaswi kuishi mwanadamu umdhaniaye,pengine ukawa unaishi maisha
ya watu wengine na hiyo ikiwa ni tofauti na malengo,na utofauti uaja zaidi
baada ya kuonekana,ikiwa maono ni mazuri.
Unaweza kuona sana na usifanye lolote,na hivyo inapaswa
kuwa na namna nyingine za kuyasukuma malengo na maono hayo kwani ukaongeza
namna ya unavyofikiria ama ukafikiria hivi na sio vile ilivyofikirika,hapo binafsi kila mtu
akafikiria lake maana haina ulazima sana wa upamoja endapo mmoja ametaka
kufikiria lake pekee.pengine utaungana kwa mapenzi na mazingira yaliyopo,
hapo
kila mtu akielezea kwa maono yake.