Sunday, April 8, 2012

inaendelea...


  Mwengine yupo tiyari kumsahihisha mumuwe mbele za watu,
hapa usiwe upendeleo kama imekuwa kwa mumeo basi na kwako itakuwa tu,
na ieleweke kabla haijazungumzika sijaja kwa ajili ya wanandoa..
ni kwa wale wanaotaka kuoa,
maana wasijekutamani kuoa kwa kuona,
ikiwa kumsahihisha kwa kupayuka ikawe yeye akatake anaelewa zaidi kwani hata mume akiwa sahihi lazima zitajaa kwanini,
sio kwamba haijaeleweka lakini ilifikirika katika namna ndiyo sivyo.

 Hapo mbele tunaelekea,
wazuri ni wengi sana,
yaani kama ni waridi basi yatakuja hadi waridii,
si limezidi kidogo!..hapo sio vitambo ni majigambo,kuna makundi Fulani hivi kama yafutayo:

·        Waliosoma
·        Wasiosoma
·        Wajasiliamali 
·        Wajane
·        Walio katika umri wa kuolewa na chini yake
·        Na wale mama wa nyumbani
·        Nakadharika…
·         
Hapo kwenye nakadharika huwa zinakuwapo kadharika pia.kwa uwezo na Baraka za kuongea hapo Kiswahili kinaweza kukua sana,vijembe ingawa wengine hawapendelei maneno.pengine basi tusijitakie haki sana japo tuwe tunajua kukausha hata chipsi,pale tutakapokuwa tunakaanga na mayai,maana kama wali ukapikwa uji hata chips zishindwe kukaushwa,unaweza kuambiwa kucha zilikuwa hazijaoshwa,pengine labda ilikuwa kwenye mdundiko,au ndiyo natoka lecture sasa hivi wakisahau lecture ipo pia kule watu wanasaga rumba,ikifika muda wa kuelewa itaeleweka tu,hasa isifike kipindi akaeleweshwa mmojammoja maana na muda na wenyewe utaenda sana.

Pengine mwanaume akatafute kiasi kinachomtosha kwa ajiri ya familia yake,naye mwanamke anapaswa kusaidia hilo,isiwe zile ni za saloon na viatu,labda tuelewane hivyo maana inafika kipindi mtu unaweza kuachika na usijue kwa nini umeachika,pengine tabia zinachosha na zikashindwa kuelezeka kutokana na fikra zinazotujaa wanaadamu..

 itaendelea....

Makaya's Forum: ELEWA 2

Makaya's Forum: ELEWA 2 :   Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye n...