Imefika siku yangu leo,mimi mwana mwanangu aliyeniita baba,akiwa na maana ya kushukuru kwa kile kilichopo,pengine utanasema wakiwapo na usijue wasipokuwapo,labda ukiwa na woga ikiwa kiendacho kwa mganga hakirudi tena au iwe katika mazingira ambayo sio ya lawaida kwa vile tuyaitavyo,labda ya kishetani ikisemekana na bila ya haja ya kuwa na uhitaji wa kumfahamu huyo shetani mwenyewe.
Pengine wengine wamekuwa wakimkimbilia mungu kuliko mababa zao,hiyo ikiwa wamesikia mungu ni mwema sana,wakifikiri mabaya yale yaliyopo na baadaye yaweza kuja kushangaza kama ya zakayo na hapo ni lazima ikaeleweka kwa maana umeweza kusoma kwa sababu yao,ndiyo yao ni kwa sababu unakemea ulipokataa fulani kwenda shule na vile mchafu sana kwa kuchezea vyombo vya vumbi basi inalazimu kuoga hata iwe muda gani hapo mapenzi mengi utaonyesha kwa kuhesabu idadi.
Leo siyo ya kina mama na sio kwamba zawadi zote ale baba,leo ni siku ya wanaume kwa walioweza na bila kungoja,maana wameitwa hata kwa lugha vile zikawa tofauti,leo tunaweza kuwakumbuka pia mababa zetu kwa wale waliotangulia na kumpendeza mungu kama ilivyoaminika,''baba yangu ulale mahala pema''
sina zawadi nyingi nyengine zitashindikana,maana kama ni baba zawadi leo zitajaa dunia.
NAKUPENDA SANA BABA..