Saturday, March 17, 2012

Makaya's Forum: NI SAWA..

Makaya's Forum: NI SAWA..: .......tunapokwenda ni sawa,kwa kuwa kila siku kadri ya zinavyokwenda mwanadamu anaishi katika ile hali ya kutokusema kwamba!! na s...

NI SAWA..


.......tunapokwenda ni sawa,kwa kuwa kila siku kadri ya zinavyokwenda mwanadamu anaishi katika ile hali ya kutokusema kwamba!!
na sio haieleweki,kwani kwa wasio elewa ni lazima kubisha na kwa yule abishaye asome,aone ili aje ahakikishe ni vigumu kuhakikisha kitu ambacho kipo hapa yaani ni wewe ujuaye usawa wake,na sisemi kibaya kwani sio changu..hapa tunaweza kuleta ugomvi na tuelewe yasiyoeleweka yanatoka wapi?

Tuwakumbuke wenye miwani,tusielewe kwamba hawataona,elewa kwamba watahitaji kuangalia zaidi,
labda kuna muda na akili ivae miwani pia,ile kama unazuia jua usiku.
Haya ya kila siku ni magumu kuyafuatilia,ingawa kila siku tunakaa tukifuatilia mambo ili tufanikiwe kwa kile kitakacho onekana,
tusione nyuma.tujaribu kule kunakoonekana,siwakatazi wale wanaorudi nyuma na kuokota vile walivyovidondosha,au kusahau,wakitumia nguvu nyingi wakiacha mengine ya muda husika yanaendelea
Masikini hafirisiki,maskini ni yule mtafutaji,maana anatafuta nini sasa?na akakae kila siku akitafuta bila kujali ni lisilo na muda au halieleweki,maskini anayetafuta huelewa yote

uelewa kuwa yasiyoeleweka ni yale anayoyafahamu ambaye hajaelewa,
ni ruksa kubwa kuunga mtaji kwa maskini kuliko kwa tajiri maana kwa tajiri pale itakuwa ni kuungwa,labda iwe tajiri naye  ni maskini katika nafsi,na ili tuelewe vingine vipo kwa nini,kuwe na vitu vinavyoeleweka ,tuwashe moto bila mafuta na tuone kama hautachoma nyumba,
hapa tusije singizia ni vyanzo vingine,maana sijui zamani walitumia nini..au ni mayai haya?


ukipanda mti na ule mkavu tegemea,
mapya yapo na isije wengine wakaitwa wao ni wa kila siku,labda wazoefu..maana na mambo yenyewe yanabadilika bila taarifa,ikiwa yanaweza kuwa ya kisasa au ya kizamani anayeyabadilidha ni nani?
maana sisi tumekuwa hatubadiliki,yaani tupo vile vile,hivyo ndivyo wasemavyo waungwana.pengine maskini kuwa tajiri yakuwa imeonekana maskini wengi wanatamani hivyo,tajiri hawezi kutamani kwani ametoka huko.

ingawaje tama inafanya kazi popote,labda tuseme itakuwa sio kila siku,maana hapa tutaepuka ubishi na wale wasio elewa wakati haya ni mambo yao.
Naweza kusema yetu au yangu pia pale yatakapo nishinda yale yangu,hata nisiposema sifai kuchekwa kwani nani anayafahamu haya yangu?ni sawa na kumshangaa yule anayeelewa akiwa anaomba msaada wa kueleweshwa,hata tukasema kwamba Fulani huelewi naye akakataa,
usishangae amekataa ni kwa sababu haelewi

Mengi hatuyafahamu...Tutakufa Maskini...!!
by:Benson G.Makaya
tel:+255714336657
email:bensonsmakaya@gmail.com


DO WE KNOW WHAT FUTURE IS?

With the goal of reaching the understanding must arrive in an environment where you say its your time and to each of us to hear there,
 I do not know what is right to know coconuts trees than our bodies?
 Simply that it provides plenty of fruits and know you will bring forth when again without knowing what you are doing,
in life we ​​lived complex has been much less to do what presidents have to be difficult, the former was to give much our sisters.while are serious cases we receive instructions without to know  others have come out.. or we were also favoured by our clients? by our parents.. because they gave our mother's womb ...

Becoming the new others have been happy with it, I can say is strangeness when making of  your own because you accept  Foreign as well as bring development to remember the beginning
 Maan… we say every man take the number it while we were at school,
this stranger was never the same, he is a host, for in spite of knowing importance of what the benefits would have been unconscious and in a loss too,
as coming contrast, one can not want to kill you when you do not want die, it must be said, once you die you will know,because only difference is that possible reasons unknown in advance.

When we sat complex we must realise that easy,
 lest we become the rights and refused to go that is hanging tough rightously.\when you leave behind and look for the alternative likely you know the way through your life,
 if the faith of the complication is that you don’t need

See not every day we say life is good
, Here we have won some things, things that every person has it, what the liking not of you for once had no need to do,
here have we desire to be like our own, ie as it is to me, then to continue to be the  best through me more and not as some

When we test the life brings happy as well as to when the teacher says his students have responded well,
 fear comes when he says, though still not corrected, but he saw in his way,a teacher,

Life has not to make a  man hardship,no matter gender it’s the way through creation
when one wants to go to his life to understand that each day, what disturbes us?

Fulfill when  you see, because its your HEART!!

Benson S.Makaya
Tel:+255714336657
Email:bensonsmakaya@gmail.com.

ELEWA 2

  Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye na kukataa kuelekea hata kwa ku...