Wednesday, August 1, 2012

KUJUA.


Haina maana ya kujua namna itafanyika zaidi ya kama hukujua,maana kuna yale yaliyo marahisi na yaliyo magumu kiujumla,kumbe yastahiri kufanya maana yote  ni marahisi,unapoweka jambo na kufanya mambo ni wazi inatupasa kuwa tayari na kuweka akili  zetu katika namna ya kujua,kwa kutambua kwamba kila kitu  ni rahisi ya kuwa magumu ni mengi  nayo ni baada ya kushindwa,kwani gumu ni lile lililoshindikana,pale tukafanye yote,maana hakuna linaloshindikana kabla ya uwezo.

Katika Siku njema huonekana asubuhi,pengine ikawa yanachelewa sana kuiva ama namna ya kuangalia ikawa si vile katika kuitazama siku bora,pengine hapo tukafahamu namna ya asili yetu ilivyo au ni namna gani vile tunaweza kutengeneza mambo yetu,katika mengine yasiyo na nguvu za kikawaida yanaweza hata yasifikilike kwani la msingi ni lile ulilonalo mtu,katika kujifunza hapo hatujali uzoefu,maana ndiyo kwanza watu wanaamka.hata pengine hatuna haki ya kuishi masikini,maana kila mtu ameamka na lake,

Katika kujua hofu huwa inatatiza sana,hapa ndiyo huwa inatupelekea kuamini miujiza na maajabu ya dunia,na hii yote pengine ni kwa sababu hatujui,au ni kuhofia kujua maana ya kugopa maajabu,kuna namna moja ya kuweza kutembea kupitia yasiyojulikana,maana kwa kutembea kwako utayafahamu,hapo utaelewa na ikiwa umekuwa na umelijua lengo la kukuwa,yaani unataka uwe nani?uwe mkubwa sawa lakini ni kama wale watoto?..hapa ni lazima kujua wapi na namna gani tunaenda.

Makaya's Forum: ISHI NA YAKO

Makaya's Forum: ISHI NA YAKO : Watakwambia unabahati kwakile ulichokifanya kilichokufanya uwepo hapo,kujipa ufalme na kuzungumzia maisha...