Haina maana ya kujua namna itafanyika zaidi ya kama hukujua,maana
kuna yale yaliyo marahisi na yaliyo magumu kiujumla,kumbe yastahiri kufanya
maana yote ni marahisi,unapoweka jambo
na kufanya mambo ni wazi inatupasa kuwa tayari na kuweka akili zetu katika namna ya kujua,kwa kutambua
kwamba kila kitu ni rahisi ya kuwa
magumu ni mengi nayo ni baada ya
kushindwa,kwani gumu ni lile lililoshindikana,pale tukafanye yote,maana hakuna
linaloshindikana kabla ya uwezo.
Katika Siku njema huonekana asubuhi,pengine ikawa
yanachelewa sana kuiva ama namna ya kuangalia ikawa si vile katika kuitazama
siku bora,pengine hapo tukafahamu namna ya asili yetu ilivyo au ni namna gani
vile tunaweza kutengeneza mambo yetu,katika mengine yasiyo na nguvu za
kikawaida yanaweza hata yasifikilike kwani la msingi ni lile ulilonalo
mtu,katika kujifunza hapo hatujali uzoefu,maana ndiyo kwanza watu wanaamka.hata
pengine hatuna haki ya kuishi masikini,maana kila mtu ameamka na lake,
Katika kujua hofu huwa inatatiza sana,hapa ndiyo huwa
inatupelekea kuamini miujiza na maajabu ya dunia,na hii yote pengine ni kwa
sababu hatujui,au ni kuhofia kujua maana ya kugopa maajabu,kuna namna moja ya
kuweza kutembea kupitia yasiyojulikana,maana kwa kutembea kwako utayafahamu,hapo
utaelewa na ikiwa umekuwa na umelijua lengo la kukuwa,yaani unataka uwe
nani?uwe mkubwa sawa lakini ni kama wale watoto?..hapa ni lazima kujua wapi
na namna gani tunaenda.
No comments:
Post a Comment