Friday, July 6, 2012

MAZOEZI.


Ni wazi inatulazimu kuweka mili yetu vyema ikiwa tunajiandaa kuwa na afya bora tukiwa tunafanya mazoezi na kula vyema,hapa kwenye kula tusiseme leo,ije kuwa wakati wake umefika maana hata mtu kukaa bila kula ni mazoezi,pengine ni kuzoea kula,ama unafanya mazoezi ili ikija zaidi ushinde,labda hatutakiwi kufanya mazoezi kwa bila kusudi,bila kujua maana baadaye tutauliza mbona mda huu umepata zote na usijue kama umerudia vyema,pengine uliigilizia hapo yakiwa ni mazoezi ya kufauru nadhani..

Mwili haujengwi kwa chakula tu,hapa tunaweza kufanya mazoezi tukijua ni mazoezi na sio kukomaa,maana haitawekana kukanyaga moto bila kujaribu,hapo hisia zitapita tu mpaka moyoni lakini swala ni kukuunguza,tumechoka sasa,haya mazoezi yamekuwa mengi na mapya kila siku,leo tunafundishwa hivi ikiwa ni kutaka kujua hivi,na baadaye tunafundishwa vile ikiwa ni kutaka kujua hivi,sijui tunapopelekwa lakini naweza kusema ngoja niwaangalie wenzako,hatua zao wanapigaje,maana unaweza kudhani kujua vyema mazoezi na kukimbia kwa haraka muda mfupi tu ikawa chalii…!

Mazoezi yakiwa makali siku ya kwanza kesho unaweza kuhairisha,lakini leo imekuja tunafanya kila siku,sisi hatuchoki?ama tumezoea?kama vile ilivyozoeleka njaa kwa mtu Yule asiyependa kula,kocha anamwambia mwanafunzi wake shika pale naye Yule anaenda na kushika,sasa tusisubiri kocha amwambie mwanafunzi wake kwamba unapoenda kushika ile fanya hivi,maana kushika si unashika tu..!!tujue tunafanya mazoezi ya nini,kama kucheza wote tunajua..

Mazoezi ya kuandika ni kuandika,mazoezi ya  mwili yamebeba vyote,na hapa tutafanya vyote kwa kurudia tusiposhika na yale mazoezi ya jana,maana walimu huwa wanatumia kurudia na maswali ya humo.tunapoingia mazoezini tusome michezo yote..!!

ELEWA 2

  Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye na kukataa kuelekea hata kwa ku...