Ni wazi inatulazimu kuweka mili yetu vyema ikiwa tunajiandaa
kuwa na afya bora tukiwa tunafanya mazoezi na kula vyema,hapa kwenye kula
tusiseme leo,ije kuwa wakati wake umefika maana hata mtu kukaa bila kula ni
mazoezi,pengine ni kuzoea kula,ama unafanya mazoezi ili ikija zaidi
ushinde,labda hatutakiwi kufanya mazoezi kwa bila kusudi,bila kujua maana
baadaye tutauliza mbona mda huu umepata zote na usijue kama umerudia
vyema,pengine uliigilizia hapo yakiwa ni mazoezi ya kufauru nadhani..
Mwili haujengwi kwa chakula tu,hapa tunaweza kufanya mazoezi
tukijua ni mazoezi na sio kukomaa,maana haitawekana kukanyaga moto bila
kujaribu,hapo hisia zitapita tu mpaka moyoni lakini swala ni
kukuunguza,tumechoka sasa,haya mazoezi yamekuwa mengi na mapya kila siku,leo
tunafundishwa hivi ikiwa ni kutaka kujua hivi,na baadaye tunafundishwa vile
ikiwa ni kutaka kujua hivi,sijui tunapopelekwa lakini naweza kusema ngoja
niwaangalie wenzako,hatua zao wanapigaje,maana unaweza kudhani kujua vyema
mazoezi na kukimbia kwa haraka muda mfupi tu ikawa chalii…!
Mazoezi yakiwa makali siku ya kwanza kesho unaweza
kuhairisha,lakini leo imekuja tunafanya kila siku,sisi hatuchoki?ama
tumezoea?kama vile ilivyozoeleka njaa kwa mtu Yule asiyependa kula,kocha
anamwambia mwanafunzi wake shika pale naye Yule anaenda na kushika,sasa
tusisubiri kocha amwambie mwanafunzi wake kwamba unapoenda kushika ile fanya
hivi,maana kushika si unashika tu..!!tujue tunafanya mazoezi ya nini,kama
kucheza wote tunajua..
Mazoezi ya kuandika ni kuandika,mazoezi ya mwili yamebeba vyote,na hapa tutafanya vyote
kwa kurudia tusiposhika na yale mazoezi ya jana,maana walimu huwa wanatumia
kurudia na maswali ya humo.tunapoingia mazoezini tusome michezo yote..!!
No comments:
Post a Comment