Pongezi kwenu mliowahi kufika mijini,pongezi kwenu wakulima
wale wa mjini na vijijini,maana pongezi kubwa kwa watu wa vijijini,hapa sasa
kuna watu wengine wa mji,hawa wanakuwa wa mahala husika,kama vile unasema
raisi wa manzese nikiwa simzungumzii mtu zaidi ya umjini,maana mjini bila
kujipa cheo hujafanikiwa mjini kuna maharamia wa hali za kawaida mpaka
nafsi mjini hatari sana maana hata kupumzika imekuwa gharama kuuliza na sh.mia tano,kama mtu unashida ya kula tu ni kheli kurudi kijijini,maana mjini
unafanya nini?zaidi utauliza soko liko wapi watu wakuchaji mia tano.
Tunasema mjini kuzuri ni kwa sababu yaweza kusiwe na
kwingine kumbe hata kijijini kuna mjini yake kumbe hata kijijini kuna mjini kuna
nini hapa tuelezane maana wote tumeng’ang’ania mjini,hapa kweli yapasa kujipa
vyeo maana vikilenga mji uliopo pengine wengine wakajifanye mbadala kama vile mtoto huweza kujifanya mtoto ikiwezekana
akue kwanza,kama vile anakuwa anakuwa na uwezo wa kuita baba ama mama,hao
wakiwa ndiyo waliomleta mjini,ukijifanya wa mjini kuna wa mjini zaidi
yako,maana hao wamezaliwa na mji,pengine wametoka kijijini wakiwa na fikra za
mjini basi watafanya wao wayajuayo kuhusu mji wala la kuuchafua mji unajua
wewe mzazi,mtoto hachapwi kwa kuchafuka.
Mjini kuna muingiliano wa watu wengi sana kama
unaishi tegemea jirani na hawa majirani ndiyo watu wa kukuingiza mjini humo
lazima upotee ingawaje utarudi mahala ulipo na kama hakuna ujuzi tambua
utatumia muda mwingi sana kwa kutaka kuumaliza mji mji sio mkubwa ila watoto
sasa.watoto wa mjini ni hatari sana maana kama utapenda kuwa jirani yapasa
kuangalia karibu zao,na huwa wanakukaribisha kwa lugha zote vile,si wanataka
kula,kwani ulisikia wapi mjini kuna mashamba?yule aliyetangulia alitangulia
kuujua mji,pengine bila kutegemea kama vile Yule aliyechelewa,tuangalie vijana
mjini sio pa kupapatikia,kuna watoto humu wasijetuingiza sehemu tusizotegemea.
No comments:
Post a Comment