Hapa isipo katika maana ya nafsi,ikawe ni kwa nini imekuwa
hivyo ama ukapenda ama ukakataa,yaani kwa nini tunachagua yale yanayohitaji
kuchaguliwa,maana siyo kwa vile nimechagua kwa nafsi yangu,hapa ikawe imesemeka
ndiyo maana ikachagulika,maana kama hakuna kilichopo ama kufanyika kwa nini
ichaguliwe iyo?
hakuna namna ya kusema tunaweza kuendelea na wakati uwazi
unaonekana,tena uwazi umedhirika pale kwa
mda uliotumika,maana uwazi ni kweli,
sasa ikawe hadharani sio mahala pa
wazi maana hata unayoyachagua yanakuwa mabaya,ama yakijiweka urembo ndiyo ije
haja ya kuyatunukia,uzuri wa kuonekana hauongozi maana,uzuri wa moyo tokea
chemichemi huonekana,maana baadaye huwa bonde kubwa kwa ajili ya watu kukata
kiu zao,pengine wakashangae huko,maana kwa kujiuliza ni ile chemichemi kweli?
Hapo baadaye tumeaminiana mpaka tunakuja kuchaguana,sasa uangalie kwani hatujachagua
familia,maana utasikia aah Yule ni kiongozi wa kati,maana walishamchunguza
mwanzo wakisema alipendelewa kwa kupewa,sasa aliyempa naye si alichagua,hapa unasema ilo ni sahihi kupitia nafsi, ikiwa kwa nini sijui kama itaelezeka kwa
haraka,maana waliochagua hawajapata kitu kabisa.wamegoma kusema,wamegoma
kufanya kazi,hii hatari na chaguzi.
Mungu anawapenda watu wake ndiyo maana ya kumtoa mwanaye yesu
kristu,alijua ni kwa sababu gani anamtoa yesu,hatukujua kwa sababu gani yesu
alikuja kwetu,ndiyo maana ya kufundishwa,Kesho inaweza fika matokeo ya chaguzi
langu kutokea,hapo ikiwa ilifikirika kwa nini na nafsi haina haja kuhoji kuwa ni ya nini,ni matokeo
tu.ni mfano tu.
Chaguzi limelenga tukio,kama unahitaji kulijua lengo ni
lazima ufikirie chaguzi zetu,maana kesho ni siku ndiyo,ikiwa jana ulichanganyana sidhani kama leo tutalewana bila ya kuchagua usahihi,lazima
tufanye masahihisho,lazima tuelewe kwa nini hatukuelewa,kushindwa,kuweza kwa kuwa lolote mahala
pale,ikiwa tulichagua hilo.
No comments:
Post a Comment