Nilijua ilikuwa ni mara yangu ya mwisho kukuona na japo
kukusabahi,maana pengine ilikuwa ni dakika za mwisho kwa lile lilotakikana jana
likaja leo,hapo nikawa nimekuchelewa kwa kutokuwahi muda,maana itakuja kila
siku na kuona kwamba yaliyopita ndiyo ndwele,hapo chululu tukitaka kujua
maana,isisemeke na kujulikana kama imesahaulika kwani katika upendo unaweza
kuwapo hata kwa adui yako,leo nikisema na kesho ntaweza kurudia,maana nikiwa na
hitaji la kutokusahau.
Leo ikiwa imekuja haijaja kwa ahadi kwamba ndiyo imekuletea
vizuri,gari,tunapenda sana magari kwa kutaka kusafiri na kuelekea kusikojulikana,kwa
kijana ama kenda umri namna gani leo ikitakiwa kuwa ni siku ya nafasi,kwa vile
vinavyopendeza vikashikana ili kuzuia mmomonyoko,si ya kuwa yakidondoka kwa uzembe
wa kutokujua uongozi na kusahau kusubiri kesho wakati kuna leo,pengine
tukifuatana na ya jana ili kuleta maana.
Unaweza kulaumu siku yako kwa kutokuona kesho inakuja,maana
hiyo na hayo ni mafanikio tu,pale unapopenda una chukua muda ikiwa hakuna
makosa na haina haja ya kulaumu,ama hapo ndiyo tuamke na kusema samahani,makosa
mengine waweza yafahamu mwenyewe kwa kutokujua kulaumu kesho.ikiwa aliye na
hitaji na kuishi na kufanya yeyote anayoyaweza bila kungoja kesho.