Friday, October 5, 2012

NATURE..


This coupled behavior but perhaps here I can include many, this was a practice that most often use to that way, not that they are wrong or not following the nature, instructions are how well the nature of the existing top did not exist even in a small space had to make those of the state under current bosses done , so it makes supplication that the situation is complex, and  left it off does not need to remember maybe we just wait for the results before having guts.

when you rise voice to be heard is kind of how to use great force when the trip is short, when you need to calm down and do what you can that are hard and familiar to other, if nature has lost its meaning and nature also does not mean, not man over man as it is, for each individual  did well in his or her time and goals, as you respect your nature you know what you think, if you are successful with the vision to get there you need to detail to make you comfortable.

The life of a man is not made for trouble, maybe perhaps too late, and so if we live in different with our natures, not that to feel well is a natural good, perhaps nature does not mean that you live the way you live, then if you have chosen to fullfill your life.
 

PEACE...


For perhaps you perceive it as a trust, including knowledge of man, perhaps you judge wrong, then you have not known, other events are called normal things, other events are matters of common, perhaps we are Who that known to be somebody, probably does not mean to have faith in the time you are not a man of peace, peace comes when the other should come to be a thief, perhaps  now as it came to others that  God not going to be overwhelming, because  readers will cease, but a peace that makes us have faith, faith made me, We wrist a lot, this being a desire to make understands, if you consider money then all that may be another case, because if you have peace that will bring you faith and your faith is that you have right now, so thank your God, for he has set you free and Blessing until now.

If i would be old I would say something, but there is its present in it. which is all we see, lets come later  that they can tell us, that if we be such, that we search without grounds, that we should not see or know what the meaning of peace, maybe some people laugh when they are so angry, I refrained because I'm not all wastes that one does not build the silence of the meaning of human life, here I’m talking about being more, we have lost many and everyone is mindful of it, of someone good is what the other is left a little, because even I  should not overlap i would not know the other, others understand you should have faith to bring peace, not make war to know you are going to heaven, but these practices is that of diversity, it is probably better  to say, then even if a baby believes is certain algae that come in faith, that he or she believed it.

Peace of heart is good, it is because I am, as embodied in the faith, I believe through peaceful nothing impossible for  me, here you knocking then you will need to be directed, many just as good, but the other is not over another. It will reach a period will begin announcing churches in the media, on faith would be more at peace disappears, must war come, when as you believe this or that  is your enemy, but although it is man .here you may lose many, even as we liked less of each other, when peace go away nothing can be understood able for objective, good to understand what it is to live with the object, no living in the conflict is the result of your great wealth, lead us peace now,  basic things are just a lot you cannot do without a peaceful life.
 
 
 

UWEZA

Namatumaini mu wazima kwa taarifa nilizopata chache ukiwa unahitaji kupata kitu ni katika namna ikaonekana na siyo jadi,pengine ukiwa huwezi unaweza hujui kama unaweza kuweza au uliteleza na ukashindwa kueleza ikiwa kama ni dozi umeshindwa kuzimeza,mungu ibaliki Tanzania tunaweza,karibuni kwangu kwenye meza karibuni ndani wala siyo kuigiza karibuni bandani ikiwa siyo kulipiza,mafuriko yametoka mtoni baharini kuwamaliza,karibuni sana vijana kuanzia hapa mpaka angaza.
Duniani kuna mengi hakuna ya kushangaza,kichwani kuna mengi na pengine ukiwa kilaza ,leo ikiwa kesho narudia ili isiwe kujiuliza,leo isipokuwa kesho nitakaa nisijilaumu kutokumaliza,maana hata kwa kuchungulia imeonekana unaweza,ikiwa katika mechi timu na namba zozote lakini umecheza,fikiri isiwe hali ukajihisi umependeza,isiwe ikawa mali ukasema na kujibeza.
Mawazo yako yanakuwa yako pale ulipoweza,mawazo yangu siyo yako wala hauwezi kunigeza,ukifikiri wewe pengine kimawazo  utapendeza,usipopata kiwewe mengine yapasa kuyameza,karibu nakurudisha mwanzo kwenye meza,ilisemeka karibu kumbe ulikuwa umechakaza,siyo pipi ikaeleweka kusambaza,ni utamu wa pipi ukaingia kichwani na kutandaza,irukayo juu ni mitandayo wametumia wengi kuitokomeza,Tanzania nchi huru yenye amani na kupendeza,karibu Tanzania kwa imani tunaweza.

PENZI..

Hakuna mapenzi maana imekuwa ikifungulika kama ilivo katika vifungo,leo ufunge leo ubishe maana kilichopita nikama kile kilichokuja,hakuna maana ya kuumizana kama muumizaji ameonekana kuwa na wasiwasi,na pengine asije akatakiwa tena,ikiwa nafasi zikiwa nyingi basi kuna wengi,maana wengi hawawezi,
katika maisha na maisha yao ikijumuisha na yetu unapocheka yakiwa yako,furahi umeyafahamu,kinachotakiwa ni uhuru,tena isifuatike wala kufutika,maana yataonekana mengi,na wengine kuwa wengi maana wamejaa sana.
Siwezi kukimbia wakati namna iliyopo ni katika maana ya kuiweka iwe sawa,ati fulani akawa nani ni kwa sababu ameamua,isikufanyike kusimama kwa kutaka kuvunja sifa pengine inapoeleweka kuna kuchelewa katika maumivu ili na kesho isihitajike tena,labda ikiwa inayotembea ndiyo inayokuja pia,ikiwa hakuna mbio ziliwazwa,
Penda kile unachokipenda kwani huwa inatokea,pengine ikiwa ni kutamani lakini jaribu kuzizuia tamaa maana imetambulika hivyo,usiku ukiwa mchana haina haja ya kushangaa wakina dada wakivaa uchi,maana na yenyewe yamekuwa mavazi si kosa kwani ni mapenzi pia,hakuna anayeweza kukimbia maisha yake zaidi ya Yule aliyekimbia,maana ameweza peke yake,kama aliwezeshwa umejua wewe.kesho ikija yaitwe majina mengine maana na yenyewe yamekuwa ni zama yana mpito,angalia wanaokuona,maana watasema wamekuangalia vibaya wakati unaonekana vibaya,tafuta vizuri ikiwa hujui ni yupi.

CHAGUA MOJA..

Chagua,chagua vizuri maana unaposogeza unafikiri,unafikiria vizuri ikiwa Yule anayeweza ameweza,akiwa na jinsia pengine namna yake ama iwe katika idadi,pesa sio kuishi,unaishi ikiwa unapesa,unapochagua unajua ya kuwa unataka,unapotaka sio kiraka kwani ikiwepo jua kama ulivyotaka,pengine kilitokea bahati mbaya,maana ya mmoja mwengine ikiwa ni tofauti na yako,nguvu hazimmalizi mwenye nazo zaidi ya Yule anayeziangalia maana kwa hofu isiwe kujitetea unaweza kuhofia.
Unapoona umechagua mahala na mwelekeo wa kuelekea alafu kuona hauelekei jua ulikuwa hauelekei,hakuna atakayeweza kukusaidia zaidi ya wewe mwenyewe,nguvu zako ndiyo zitakufikisha unapotaka,pengine usipofika basi jua hazikuwa ni nguvu zako,leo haitasomeka na wengi ya kuwa’ ukweli unauma’kesho usipokuja watakuja wa maana,ikiwa katika kuelewa imeeleweka ni zaidi.
Usikubari kusema basi,ikiwa walianza zamani mpaka sasa wapo,ikiwa alianza zamani mpaka sasa yupo,wewe siyo huyo bali ni Yule maaana itasemeka kwamba ulikuwapo,fikiri nyuma maana mbele kunakusubiri,angalia mbele maana sasa meza imegeuzwa,miguu ikiwa juu kichwa chini siyo tofauti,ni namna ya kufanya kichwa kiwe kama miguu,unapotembea jaribu kuangalia mbele,ikiwa sijui unaangalia wapi maana kila mtu ana yake chaguzi,usihofu yakiwa mengi maana hiyo ni moja yako.

UMAARUFU..

Katika kujulikana siyo kuhitaji sifa pengine ikiwa haijulikani namna ya kusifia,umaarufu ni katika kujumuisha yale yaliyo mazuri na mabaya,yale yaliyo na kiburi ama ikawa sio vizuri,maneno maneno si ya kupendezesha umaarufu,ikiwa kwa kumchujaji alikamua vizuri,pengine ikaeleweke ni kipi zaidi ama ni yupi ikiwa siyo kimfano maana ikiwa inahitajika kumaanika,umaarufu hauji bure bwana,umaarufu siyo kitu cha kukupelekea kule,kama mizigo yahitajika  kuhamishwa basi wawepo wazoefu na siyo maarufu.
Katika wanyama yaweza kuwa kuitwa haramu maana ikawa siyo kwa walio na hamu,kuna binadamu wengine wakitaka umaarufu wa bure,kwa kujifanya.katika yaliyo ya jana yakikumbukwa kwa hisia kali maana ya kuupoteza umaarufu,umaarufu unapozaa huamisha namna na kupeleka kwa maarufu,hii ikiwa katika matunzo na namna ya kumiliki.vingine vikiwa ni gharama,hapa ukafikiri umaarufu na siyo gharama.
Sifa za bure siyo nzuri maana kila mtu atakujua,panapokuwa hapaeleweki ijaribike kueleweka,ikiwa mwelekezaji maarufu yupo,asije maarufu wa kujiita maana kwa usiye fahamu watakwambia ndiye ‘expert’.kumbe katika tegemezi haikujulikana bora nini maana unaweza kuwa na umaarufu usiweze kununulika.

MCHANGO..

Napenda mchango wako katika kusherehekea kuwa mkubwa,pengine ili kufanikisha mahala au kitu fulani,mchango wako utanisogeza kwa kuwa umekuwa mtu muhimu sana katika maisha yangu,pengine mungu hastahiri shukrani ya kuwa ni zake,pengine isiwe katika kuchangia pumzi ukashindwa msujudu,ukitaka vile utakavyo,ukiwa huna shukrani.maana kama kilitoka kidogo haikupaswa kusemeka kama ilikuwa ni kidogo ya lakini zaidi ya kushukuru,kwangu mimi nashukuru sana maana mchango wako umenifikisha nilipo.
Unaweza kudharau kwa kuwa ni kidogo,ikiwa hujui mchango mdogo ni mkubwa haina haja ya kufanya,leo usikae ukasema unataka mchango utakao kukidhi kwa bila ya kudhani kwa wengine,maana hata kama umechangia lakini si lazima kuchangiwa,changa wewe ili ikijichanga ufanikishe malengo yako,ikifika mwisho wa siku yasije maswali ukashindwa kuelewana kwa kuchangia kidogo,sina maana ya mchango wako endapo unategemea nikuchangie,zaidi kinachohitajika ni shukrani.Shukuru pale unapochangiwa,mungu ametuchangia vingi sana,haina haja ya kutokuelewana na kuchangia kidogo.
Haikuwa na maana ya sherehe katika kufikisha lengo,haikuwa na maana ya matajiri kutoa michango,alisifika Yule maskini aliyekuwa hana na kutoa sadaka kama mchango nzuri,kesho inapokuja usifikiri kurudisha yale ya leo na kuyafanya,maana ukiwa mkubwa utachangia wadogo kufanya vitu vyao,na hiyo ni njema katika mbingu kwa kuwaacha wale watoto wadogo kwenda zao hata wasichange,huo ukiwa ni mchango wako mkubwa sana.

Makaya's Forum: ELEWA 2

Makaya's Forum: ELEWA 2 :   Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye n...