Friday, October 5, 2012

PENZI..

Hakuna mapenzi maana imekuwa ikifungulika kama ilivo katika vifungo,leo ufunge leo ubishe maana kilichopita nikama kile kilichokuja,hakuna maana ya kuumizana kama muumizaji ameonekana kuwa na wasiwasi,na pengine asije akatakiwa tena,ikiwa nafasi zikiwa nyingi basi kuna wengi,maana wengi hawawezi,
katika maisha na maisha yao ikijumuisha na yetu unapocheka yakiwa yako,furahi umeyafahamu,kinachotakiwa ni uhuru,tena isifuatike wala kufutika,maana yataonekana mengi,na wengine kuwa wengi maana wamejaa sana.
Siwezi kukimbia wakati namna iliyopo ni katika maana ya kuiweka iwe sawa,ati fulani akawa nani ni kwa sababu ameamua,isikufanyike kusimama kwa kutaka kuvunja sifa pengine inapoeleweka kuna kuchelewa katika maumivu ili na kesho isihitajike tena,labda ikiwa inayotembea ndiyo inayokuja pia,ikiwa hakuna mbio ziliwazwa,
Penda kile unachokipenda kwani huwa inatokea,pengine ikiwa ni kutamani lakini jaribu kuzizuia tamaa maana imetambulika hivyo,usiku ukiwa mchana haina haja ya kushangaa wakina dada wakivaa uchi,maana na yenyewe yamekuwa mavazi si kosa kwani ni mapenzi pia,hakuna anayeweza kukimbia maisha yake zaidi ya Yule aliyekimbia,maana ameweza peke yake,kama aliwezeshwa umejua wewe.kesho ikija yaitwe majina mengine maana na yenyewe yamekuwa ni zama yana mpito,angalia wanaokuona,maana watasema wamekuangalia vibaya wakati unaonekana vibaya,tafuta vizuri ikiwa hujui ni yupi.

No comments:

Makaya's Forum: ELEWA 2

Makaya's Forum: ELEWA 2 :   Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye n...