Napenda mchango wako katika kusherehekea kuwa mkubwa,pengine ili
kufanikisha mahala au kitu fulani,mchango wako utanisogeza kwa kuwa umekuwa mtu
muhimu sana katika maisha yangu,pengine mungu hastahiri shukrani ya kuwa ni
zake,pengine isiwe katika kuchangia pumzi ukashindwa msujudu,ukitaka vile utakavyo,ukiwa huna shukrani.maana kama kilitoka kidogo
haikupaswa kusemeka kama ilikuwa ni kidogo ya lakini zaidi ya kushukuru,kwangu
mimi nashukuru sana maana mchango wako umenifikisha nilipo.
Unaweza kudharau kwa kuwa ni kidogo,ikiwa hujui mchango
mdogo ni mkubwa haina haja ya kufanya,leo usikae ukasema unataka mchango utakao
kukidhi kwa bila ya kudhani kwa wengine,maana hata kama umechangia lakini si
lazima kuchangiwa,changa wewe ili ikijichanga ufanikishe malengo yako,ikifika
mwisho wa siku yasije maswali ukashindwa kuelewana kwa kuchangia kidogo,sina
maana ya mchango wako endapo unategemea nikuchangie,zaidi kinachohitajika ni
shukrani.Shukuru pale unapochangiwa,mungu ametuchangia vingi sana,haina haja
ya kutokuelewana na kuchangia kidogo.
Haikuwa na maana ya sherehe katika kufikisha lengo,haikuwa
na maana ya matajiri kutoa michango,alisifika Yule maskini aliyekuwa hana na
kutoa sadaka kama mchango nzuri,kesho inapokuja usifikiri kurudisha yale ya
leo na kuyafanya,maana ukiwa mkubwa utachangia wadogo kufanya vitu vyao,na hiyo
ni njema katika mbingu kwa kuwaacha wale watoto wadogo kwenda zao hata wasichange,huo ukiwa ni mchango
wako mkubwa sana.
No comments:
Post a Comment