Wednesday, January 24, 2024
Makaya's Forum: ISHI NA YAKO
Makaya's Forum: HASIRA YAKO
Tuesday, January 16, 2024
HASIRA YAKO
Unakasirikia maisha yako wengine wakiwa na furaha,ikiwa lengo si kutaka kuijua furaha ya mwengine bali kujua ni namna gani hasira zako zinakupeleka,binadamu tupo tofuti,mmoja hali nyama ya mbuzi kwa kuwa inamtoa vipele mwengine hali nyama ya nguruwe kwa sababu ya dini sasa nikikasirika usiniulize nimekasikia nini,nina mengi.
Kasirika,usikarike pasipo na
sababu.upumbavu wa mtu mmoja usikufanye uvunje simu na mwengine kufikia kumkata
mtu panga.angalia unapokasirika sauti yako ya ndani inakwambia nini na kabla
haujatenda kwa kutumia kiungo chochote cha mwili yakupasa kutafakari,maana kuna
wale wenye hasira za ndani(chuki) hawafanyi mambo yao hadharani.
kama ilivyo katika michezo
mmoja akamchezea rafu mwenzake basi wanamichezo waliiga kwenye maisha,na ndiyo
maana unasikia michezo haiitaji hasira,ukisusa wenzako wanakula na wenzako huwa
wanakula mpaka baadaye ukakitamani tena hicho chakula,kasirika vizuri.
Dunia hadaa utakasirishwa
wakitaka kujua maamuzi yako,ukishajua umekasirikia nini maamuzi yako yawe
tofauti na hasira zako kwani kweli maisha yana mengi lakini kuna mengine sio ya
kukasirikia fikiri mtu anakasirikia mafanikio yako na atayekumbatia maamuzi ya
hasira zako yampasa kuwa yeye.
ISHI NA YAKO
Watakwambia unabahati kwakile ulichokifanya kilichokufanya uwepo hapo,kujipa ufalme na kuzungumzia maisha ya mwengine kwa kuwa umefika mahala fulani,tambua maisha yana stepu,uliyopo sasa mwengine alipita juzi ukicheka leo mwenzako kulia ni sawa na kulia wakati mwenzako anacheka.
Usibabaike na waliowahi
kufikia ukitakacho,tambua muda wako ikiwa unajiandaa jiandae vyema ili ukikosa
isiwe lawama kwa wengine,maana imekuwa mmoja akishindwa akatoa sababu za
mwengine kumuangusha.
Usifikiri ni raisi kukaza
jambo,kuna mengine yanakaza mpaka kufungua inakuwa kama ni kukaza,ujiandae
vyema maana kuna vilio,maumivu yasiyo na machozi na hata usumbufu
usiohitajika.yatambue magumu yako na jipe muda kuyatatua ikiwa humu duniani
wote mpaka muda huu tunatafuta maisha.
Kheri udongo unarudi utokapo
maana ingekuwa foleni kubwa barabarani kwa kuwapa heshima wajionao
miungu,usifikiri wakati wa magumu peke yake mwishowe ukawapa lawama watu wasio
husika na maisha yako,tambua nafasi yako si ile aisemeayo mwengine,watu huwa wanaongezea
kwa kile ulichonacho.
Makaya's Forum: ELEWA 2
Makaya's Forum: ELEWA 2 : Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye n...
POPURAL POSTS
-
Kule kwetu kuna mahala panaitwa makunguru,ali hali ingalikuwa nzuri tungalihamishia ikulu, mambo yamekuwa mengi hata ya kujisti...
-
Yafanye mapito yako kuwa nguvu inayokusukuma kwenda mbele ukitegemea kuishi ndoto zako na sio kile unachokiogopa na kuhofia,wengi hawafanyi...
-
Kufikiri ni kuwa na hitaji la kurekebisha jambo,kunatokana na mawazo,kwa hiyo fikra zinaweza kuwa ni mawazo,kufikiri ni kitendo,kure...
-
Unaweza kufanya jambo bila hali yoyote,maana kutokuifikiria na hata ikikatalika mwanzo mwishoni ukikosea utasema samahani,kwa sababu u...
-
Sometimes you can find strong powers of concentration in yourself. When you really and earnestly want to excel in your studies, pass an...
-
Unapotafuta na kuhitaji kitu wakati Fulani pale mwanaadamu anapoihusisha nafsi yake kupitia mapendo ,nikisema watu wanaenda tu kutafut...
-
» Most people with personality disorders have what is sometimes referred to as "disorders of the self," because they often do...
-
When there is darkness , we need light... Light is direction , light makes the appearance to be consistent if the view ...
-
Lugha ni chombo cha mawasiliano,watu huwasiliana kupitia lugha tofauti ikiwa nao wako tofauti,bila ya kuzungumzia nadhifu za nje,lugh...
-
Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye na kukataa kuelekea hata kwa ku...