Makubariano ni kuweza
kuelewa,ni kuwa na uelewa kukubari ama kukataa,sio kwa kichwa kama ikakatalika
bali kwa namna yeyote ili mradi ikatambulika,mara nyingine kusiwe na maelewano ni kwa sababu lugha ni tofauti,hapa labda
tutaamua wenyewe kwani kama tuliweza kuishi katika makabira ya mbali na ikaja
kueleweka basi hakika tunahitaji maelewano ikiwa mwanzo tulipatana na
hatukuweza kufahamu kwamba inatupasa nini,maana kuna kujidai na kuwepo,hii
kujidai ni namna ya kufanya kama vile ilivyo halisi,ikiwa na muigizo wa
kuelekea katika lile lililotambulika na mmoja ama idadi yeyote kwamba
linahitajika kueleweka.
Maelewano si o mpaka
vita,maelewano hayana hitaji la kutaka
maana hapo tutaleta vita,tena ikiwa tunahitaji kuelewana ni lazima tujue
tulikosana wapi?maana hata wapumbavu watajiona wenye nguvu sio kwa sababu
hatuelewani ,au hatueleweki hata sisi pia kuelewa,bali kuna namna za kumfanya
mpumbavu akaelekea na upumbavu wake,kwa vingine vile vya kuonekana na kufanyika
vinaweza kuigwa,hapa tuangalie tusije kuiga upumbavu wakati tunataka
maelewano,maana ni lazima kuwa karibu.
Ukaribu ndiyo
unaoleta maelewano,hasa kama tutawasiliana kwa simu,na aina yeyote ikaitwe
mawasiliano,hata kwa yanayoendana huwa yanaelewana,ikiwa tu imetakiwa iwe
hivyo.katika kipindi cha kuubiri majibu ndiyo pale maamuzi yaliyofikirika
hutoka,hapa inaweza kutoka vita ikiwa fikra zitabaki pale pale,tunaweza
kuendelea kwa kusema mabaya ni mengi yaliyofanyika,sio kwamba tukataka maelewano
kwani na yenyewe yanaweza kuja na kuwa mabaya,labda tukae mbali tuone ni namna
gani tunaelewana.
Ikiwa siku na jua
navyo vinaenda tofauti havitaki kukutana
si ya kwamba havielewani,fikiri ya kuwa usiku ungekuwa upi?maana jua lingewaka
tu,hapa isiwe kwa mateso basi na tufanye vimeelewana hivyo jua siku moja na mwezi
siku moja,bila uangalifu hapa tungetafuta namna ya kuelewana maana kwa wengine
waliozoea usiku watataka mwezi uwe wao ,hawa wa jua itakuwa vita kali na
wakulima,maana hata na mvua inakatishwa tamaa kwa vile tu..imekuwa too much.
Kipindi cha zamani
sio kama cha sasa,vijana wa zamani ndiyo wazee wa sasa,yaani hata vitu vya
zamani ni vya zamani tu,Yule akaichukulie ile mpya inamaana ndiyo kaiona hata
haina haja ya kuuliza,ni sawa unamuuliza baba leo
tutakula nini na wakati unaona mama yupo jikoni,tena huko nako kukiwa
hamna maelewano maana ile sukari ya jirani ndiyo imesaidia kwa ule unga robo
uliobaki juzi,maana na jana tulitegemea tutapata jioni kwa bahati watoto
wakalala,mambo mengine yanahitaji muda maana hatutaweza kufikiri haraka namna
hiyo,yaani kwa muda huu sio kufikiri tu ukijua ndiyo
umeweza zaidi ya kuona kama unaweza.maana mawazo hayafikiriki mpaka
huleta vurugu hata ya kujichukia mwenyewe.
Tunapoelewana
tunamaana ya kuelewa kwa kila mmoja sasa Yule mmoja na wake mwingine isije na
kuelewa tofauti,ikaeleweka kwa maana,tusiombe kesho ije ikiwa tuvuke vita ya
leo,kama mtu kashiba basi chakula kifunikwe au njaa itafutwe,tena si kwa Yule
tu muandaliwa maana wanaotaka kuelewa ni wengi tatizo ni kwamba kila mtu
anaelewa lake,ni vigumu kumuelewesha Yule anayetaka kuelewa vyake,tutaleta vita
tena isiyo kuwa na nafasi ya kupigana ikiwa wapiganaji ni wengi mno,ukiona kuna
kunyamaza kwa kuinama chini ujue kuna misemo hapo,kope zikamfanye mtu afiche
kile alichokiona mara ya kwanza kwa kujifanya kutokujua,hivyo baadaye ikawa ni
mtafaruku,yaani maelewano kukosekana
By: Benson G.
Tel: +255714 33 66 57.
Tel: +255714 33 66 57.
Email:bensonsmakaya@gmail.com