Wednesday, September 12, 2012

UTARATIBU...


Pengine ndiyo huleta uwezo uliotafutwa bila ya kucheza,na michezo na yenyewe ikiwa na washabiki wengi ndiyo hapo tutakuja kugombana zaidi,maana kwa upamoja unaotakiwa kuwepo ndiyo huleta hadhara kwa kuwa yale yaliyo nje yakaja ndani,haya yakiwa hayahitaji kuzungumziwa sana maana yametulia kimya yakifuata utaratibu.

Karibu pokea na  yale yaliyo na mapenzi ili kesho tukakumbukane,hakuna Yule anaye jua la mwenzake zaidi wakati yeye hana,maana ikiwa ametaka Yule aliyeweza ndiyo hapo tutatoa sauti kwa kupaza kwani pengine zitakuwa ni ndoto zinazosimulika kwa utaratibu zaidi,wachache ni wote walioonekana kwani hata kwa ule uchache wa kufikiria kwamba haitakuja kutokea kwa uchache wake zaidi imekuwa ni kufanya kwa utaratibu,maana tunauliza tunapata majibu,kwa ugharibu hatuyafanyii kazi majibu yetu.

Hakuna cha kuomba pale unapotaka,sasa unaomba nini na wakati unataka kila muda unavyokwenda?,unahitaji uhuru ungekuwa ahera ya kuwa umewekwa ili iwe kwa mabachela. katika utaratibu imezungumzika kwa kusema ili ifuatwe,leo uachane na yale yote yatakayo kuwa yanakufanya nusura katika kile kinakachoharibu,ni kweli lawama ni kweli laana,ni kwa utaratibu mtu unaweza kufikiri na kujua yale yasiyodanganyika.

ELEWA 2

  Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye na kukataa kuelekea hata kwa ku...