Haina haja ya kutoa machozi wakati unayeishi ni wewe
mwenyewe,haikuwa na maana ya kutafuta na kufika mahala fulani,serikali
ikiwa sio baba wala mama yako,serikali ukiwa ni wewe na unahitaji kusaidia
wananchi wasiojiweza,msilie wale wa mbagala mabomu,msilie enyi wataifa kama
wafuasi wa kibwetele,utamaliza nguvu zeko bure,maana anayetakiwa kusikia ameongeza sauti ya kutokusikia,ukisema umechoka kwa yale uliyoyalilia,ni
baada ya kuwa magumu na ahadi wengi umewapatia.
Unakaukiwa maji mwilini na mabomba yamekatwa,ikiwa maisha ya chini ya mtanzania ni chini ya dora,yanashida sana kwa ajili ya kuongezeka kuwa mengi hapo wengine watalia wakitaka usaidizi bila kujua wamejijazia wenyewe,haitaleta maana.ukiwa mwalimu ni lazima utengeneze pesa kupitia mlango mwengine,swali linakuja ni unawezaje kutengeneza?maana yeye akafundishe kufanya biashara na asifanye,unawezaje kukaa na kuja na majibu mazuri ambayo yasikufanye ukalia,hapo ni swala la mwalimu kukubali kusoma yale ya duniani,kama umegundua kitu hakiendi ni heri kukiacha maana kitakuliza sana.

Duniani kuna lile la ukitaka kuwa na pesa ni lazima ukae
katika mchezo wanaotengenezea pesa,hapa labda kimazingira maana kuna mahala
pesa zinamwagika kama vile zinatengenezwa,yale ya msingi yakiwa
bado hayajafanyiwa kazi,ukiwa nje tu utaskia pale ni pazuri,ni kwa sababu ya
kuutambua uzuri,usiende na maisha yako na baadaye kuwapa watu lawama,kama
ulishazaliwa na unakuwa jua wewe ni wewe,jitambue.hata ukitokwa machozi hutafutw,
wachache sana,na ukisema hafadhari ya kwa heri,maana huko unakoelekea yaweza ukatoa machozi sana,kwa vile ilivyo hata haikutegemeka.