Hii ikiwa ni kama tabia lakini pengine hapa tukajumuisha
wengi,
hapa ikawa ni mazoea kwa kuwa wengi huwa wanatumia kufanya hiyvo,sio ya
kwamba wamekosa au hawajafuata maelekezo ni namna ya vile ya asili ya waliopo
juu wanavyofanya maana hata katika nafasi ndogo ilibidi wafanye wale wa hali ya
chini sasa wakubwa wanafanya,hivyo inaleta kulalama kwa kuwa hali ni
ngumu,tulipotoka ni mbali wala haina haja ya kuyakumbukia labda tusubiri
matokeo maana tulishalalamika kabla ya kufanya.
Tunapopaza sauti kwa kutaka kusikika ni namna ya vile
kutumia nguvu kubwa wakati safari ni ndogo,
pale tunapohitaji kutulia na kufanya
yale tunayoyaweza yanakuwa magumu yakuwa yalizoeleka ni mengine,
ikiwa asili
imepoteza maana yake,na asili sio mtu zaidi ya mtu vile alivyo,maana kila mtu
anafanya vile katika wakati na mlengo wake,tunapokuwa tunaheshimu asili zetu
tunajua kile tunachokiwaza,
ikiwa ni mafanikio na maono ya kufika pale
unapohitaji kwa undani na kukufanya ujiskie vizuri.
Maisha ya mwanadamu hayajaumbwa kwa shida,labda pengine
tumechelewa,na hivyo ikiwa tunaishi tofauti na asili zetu,sio kwamba kujiskia
vizuri ndiyo kuwa na asili nzuri,pengine asili haina maana kwa kuwa unaishi kwa
namna unavyoishi,hapo ukiwa umechagua kufurahia maisha yako.
No comments:
Post a Comment