Wakati mwengine ikibidi haina budi.tuungane pamoja,maana unaweza pigania
kuwa jinsia ya kike na wakati umepewa uume.hakuna asiye kuwa na uelewa,hakuna asiye
kuwa na akili,hakuna aliye mjinga zaidi ya mwenzake,hii ikiwa katika kichwa cha mtu,na kama umekata tamaa ndiyo ukahisi na kudhani ya kuwa wanaonewa
sana katika maisha NA dunia kukuangukia,unapokuwa na moja ili kuweka mbili ni lazima kuunganisha ili kuleta
maana,pengine unapodhani kama upo sahihi sana katika upande mmoja na mwengine
wakati si vile ilivyo.
Maana haya mambo yapo siyo kwa sababu zako,haya mambo yana
sababu zake,ya kwako yakiwa ni machache,maana pale ukaleta nguvu katika
kujenga kwa kuwa maisha ni ya wote ingawa kila mtu ana ishi katika aina yake.’unapotaka kukaa na kumnyanyua aliyepo kwa matusi
ni lazima utukane’ni vyema wanajamii kuyafahamu mapya yanayoleta muunganiko pamoja na amani ndani ya mda wetu, sisi wenyewe.
Kinachotakiwa ndani ya maisha yako ni mafanikio,mafanikio
yasiyo nakuleta kinyume kwa mtu,pengine mwizi anaposahau kuiba na lenyewe
linaweza lisichukulike kosa,hakuna kusahau mbele ya roho za watu,Yule
anayepigana hajahamasishwa kwa kuambiwa bali kuona,na ingali unaendelea kukua
zaidi tenda kile kitakachokuunganisha na jamii,maana unaweza kutaka kuishi tofauti na mazingira yako.
No comments:
Post a Comment