Friday, October 5, 2012

UMAARUFU..

Katika kujulikana siyo kuhitaji sifa pengine ikiwa haijulikani namna ya kusifia,umaarufu ni katika kujumuisha yale yaliyo mazuri na mabaya,yale yaliyo na kiburi ama ikawa sio vizuri,maneno maneno si ya kupendezesha umaarufu,ikiwa kwa kumchujaji alikamua vizuri,pengine ikaeleweke ni kipi zaidi ama ni yupi ikiwa siyo kimfano maana ikiwa inahitajika kumaanika,umaarufu hauji bure bwana,umaarufu siyo kitu cha kukupelekea kule,kama mizigo yahitajika  kuhamishwa basi wawepo wazoefu na siyo maarufu.
Katika wanyama yaweza kuwa kuitwa haramu maana ikawa siyo kwa walio na hamu,kuna binadamu wengine wakitaka umaarufu wa bure,kwa kujifanya.katika yaliyo ya jana yakikumbukwa kwa hisia kali maana ya kuupoteza umaarufu,umaarufu unapozaa huamisha namna na kupeleka kwa maarufu,hii ikiwa katika matunzo na namna ya kumiliki.vingine vikiwa ni gharama,hapa ukafikiri umaarufu na siyo gharama.
Sifa za bure siyo nzuri maana kila mtu atakujua,panapokuwa hapaeleweki ijaribike kueleweka,ikiwa mwelekezaji maarufu yupo,asije maarufu wa kujiita maana kwa usiye fahamu watakwambia ndiye ‘expert’.kumbe katika tegemezi haikujulikana bora nini maana unaweza kuwa na umaarufu usiweze kununulika.

No comments:

Makaya's Forum: ELEWA 2

Makaya's Forum: ELEWA 2 :   Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye n...