Duniani wengi humkimbia mtu kipindi cha shida,wanaoamini kufika darasani ni
kuelewa zaidi ya maisha yalivyo wameelewa tofauti,ikiwa ulienda na ukasoma shule jua kuna
maisha,hivyo shule ikusaidie kuishi,hata kama hujasoma Isiwe usijue nini maana
ya gurudumu na wakati unaona linazunguka,ombea kuwa wa ndani maana ukionekana tu
kipindi umechoka wenye raha zao watafanya maamuzi,maisha si unavyotaka mwingine
wewe yawe kwa mwenzako,amua maisha yako leo kwa kufikiri sahihi,kubali kuwa haukuja duniani ili uishi tofauti na
unavyopenda.
Hakuna mtu anayependa kulalamika au kumlalamikia mwenzake
kwa kutokufanya jambo,ila ikitokea umechemsha kweli ni lazima kuzungumziwa na baadaye zikionekana lawama ni vile utakavyokuwa umeamua na ndiyo kujifunza,ukikubari kujifunza ni umejua,umeelewa maana yanayokuja ni mengi zaidi
ya uliyoyapita,kumbuka mbele kama unaweza zaidi ya ilivyo huko nyuma,maana
isije tokea ukasema kulikuwa na utabiri,inatokea wakati mtu kutofautiana kwa
kutokuelewana ina weza wote tukawa na maana moja tatizo likaja kwenye kuelewa,isingewezekana kumwita mwenzako chizi bila kuujua uchizi,kuujua uchizi
ni kuwai kuwa hata chembe hai zinazoelekea..😊
Hakuna uhitaji wa kuwa na haraka kwa kuogopa wasi wasi,maana
imekuwa kama mbuzi anapoona majani ya miiba,ikiwa hayapatikani basi yakionekana
adimu na kutakwa kwa sana,ukijisahau u adimu itakuja zamu yako utashindwa
kuweza japo kwa kuamua maana fikra ndogo na maamuzi mengine hayahitaji ufahamu unaoujua
wewe,hapo watakuja watu kukuamulia,tena ikiwa haukuamua vyema itaonekana
maamuzi yako si bora kuliko ushauri unaouhitaji jua namna ya kufanya sahihi pale unapoamua,jua ulichokiamua juu ya maisha yako kamwe usiigilize.
Cheka na
maisha yako.
No comments:
Post a Comment