DAILY A MAN
LIVES IN UN-CONDITIONABLE SITUATION.
Tunaweza kusema
hakuna chochote kilichotokea au kitkaachotokea,
kama mambo yanayopita kwa kuja na kwenda,ni kama wanavyosema na sisi tufanye

Haina maana kama
tumemsahau mungu,
mungu nilinde mimi ni kwa sababu ya kutaka kubadili,
yale mambo yaliyokuwa mazuri kwa upande mmoja yahamishiwe na kwingine yasambae,itakuwa ni kubadili,hata kueneza ni kubadili muonekano,
tutofautishe pale palipo na wakati wake,

Pale ni mahara, na
isiwe tukabadilika na kuwa katika mazingira
yasiyoeleweka na muda uliotumika ukaonekana hauna maana ya kuwa kila siku watu
hawaelewi,hawaelewi kama kilichofanyika ndiyo
kile kisichoeleweka au ni ajue maana ile ile.
Binadamu wengi
tunaishi katika mazingira yasiyoeleweka,
ya yale mema ndiyo ya kuchanganya zaidi,watu tunakuwa hatuelewei hilo,hili la wema kwani hajulikani ni yupi,na hapa ndiyo kuna kuchanganyikiwa kadri ya siku zinavyoenda
,ni kunatokana na mazingira tu,na hata ukahama na kwenda kwenye mazuri lazima yasieleweke,utasikia mimi ni mgeni,ili kwamba nafasi apewe mwingine,
hilo halitawezekana,ni gumu.

Wageni wote watoke nje,tusichanganyane katika zile
namba za mwanzo,kama mtakaa basi tufanye wote
na tuambiane cha kule,kule kwenyeji,ati mlifanyaje?
Aah siwezi yenu yale ni magumu hayaeleweki,
mgeni kaa chini.haya tutajaribu kuyazoea

Haina maana kufikiri
nyuma sana wakati mbele tunaenda
,ni mwanadamu yeyote labda awe na kinyume
kwa pengine italeta maana,ndiyo naye asome na kuyaelewa hayo ya kinyume,kwa walio mbele sidhani kama wanaweza kubadili welekeo maana yaweza kua nyuma kukawa na mwonekano mzuri machoni pao,
na hapa ikiwa sio ukweli ni nyuma bali ni mbele kwa yule aliyekosea mara ya kwanza

Tunapokwenda ni
lazima tubadilike,
sio tu kwa heshima ya baadhi yetu ili kuonyeshana ukubwa ni kusema shikamoo,hapa watakaochelewa lazima waonekane,
ni kwa sababu wamekuja katika muda tofauti,hili litasemeka..adhabu zinaweza kutolewa ikiwa tu tutazidi kutokuelewa ,maada zaidi ni kuhusiana na huu muda,
usiotaka kurudi nyuma na ikijaribiwa anaonekana yule aliye na wake,
tukavilaumu vichwa kama changu yaani wewe``changu yaani wewe” hata tusipoelewa yote hii ni kwasababu ya dalius

Tusidhani haya
unayoyaona yapo,yenyewe na kwa kudhani ni yale yasiyo kuwa na muonekano wakati
wa kujibu maswali ya kila siku,
haya maswali yanayohusiana na muda yaani wakati na tukio muhimu,na ndiyo hasa tukasema ni pale..yani ilitokea,
hii yote ikiwa nazungumzia yale yasiyoeleweka,katika muda halisia.

Ili kuyaweza mambo
yasiyo eleweka kama kuyaacha ulishindwa basi
badilika!!
By:Benson G Makaya
email:bensonsmakaya@gmail.com
tel:+255714336657
No comments:
Post a Comment