FIKIRI KILE AMBACHO UNAKITAKA KUKIFANYA, PENGINE UKIWA
UMEBAKI NYUMA KATIKA KULIFANYA JAMBO HILO KWA SABABU FULANI HUSIKA, SIYO KWAMBA
BINAFSI HAUKUWA NA HITAJI LA KUFANYA JAMBO HILO LAKINI CHANGAMOTO ZA MAISHA
ZIKAKUCHANGANYA NA KULETA MAJIBU TOFAUTI PENGINE UKAWAZA NA KUONA KAMA
HAUKUTAKIWA KUFANYA WEWE KWA VILE LILE JAMBO LIMEKUWA NI GUMU, UKAOGOPA KUFANYA
JAMBO KWA KUWA UTAFELI SANA, PENGINE UMEWAFERISHA WENGI SANA HAPO NYAKATI ZA
NYUMA.
MTU HANA MAAMUZI YA KUFANYA MAAMUZI, KUAMUA KUFANYA MAAMUZI
NI KUAMUA, KUNA YALE MAAMUZI MADOGO AMBAYO WENGI WETU TUNAYAACHA KWA KUWA
HATUYAJARI HAYO MADOGO,LAKINI MADOGO HAYO NDIYO HUWA MAKUBWA BAADAYE,INGAWA PIA
KUAMUA KUTENDA NI CHANGAMOTO KUBWA SANA, KAMA MAMBO YANATOKEA KATIKA MAISHA
YETU KATIKA KUFANYA YALE MAMBO AMBAYO MTU UMEKUSUDIA KUFANYA LAKINI KATIKA
NAMNA MOJA AMA NYINGINE UMEKUWA NYUMA NA HAUJAFANIKIWA KUFANYA, NA UKITAMBUA NI
LAZIMA KUFANYA LAKINI HUJAFANYA, KILA MTU ANAJUA SIO RAHISI, SIO RAHISI KUFANYA
JAMBO GUMU.
KATIKA VITU VINAVYOTUFANYA BINADAMU KUWA NA HOFU YA
KUTOKUFAULU NA KUFELI PENGINE HUWA NI KWA KUPOTELEWA NA MTU AU KITU
KINGINE,KUDHARAULIWA,IKIWA HIVYO KWA MUDA MWINGINE INAKUPASA KUJUA KWA NINI
UNAFELI,NA KAMA NI HOFU UKAISEMA MAANA HOFU HUWA HAITOKI KATIKA MAZINGINRA YA
BINADAMU,HUTUZUNGUKA.HII INAWEZA KUKUPELEKEA KULAUMU NA KUJINYIMA UWEZO WAKO WA
KUWEZA KUFURAHI.SIO KWA SABABU MMOJA NI MZURI NA MWENGINE NI TOFAUTI HAPA
UKUMBUKE HAKUNA LILILOKAMILIKA DUNIANI LAKINI KUPITIA USEMI HUU SI YA
KUMAANISHA SIO KWA SABABU YA HIYO NDIYO NAWE UWE,FIKIRI MANGAPI
HUJAFANYA,MANGAPI HAUJAYAMALIZA..USIYAOGOPE NA YAFANYE SASA NA BAADAYE UTAONA
UYAFANYAYO YATAKAVOAMISHA MAISHA YAKO.
WATU WENGI HAWAPENDI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU KWA SABABU
WANATAKA WAFANYE MAAMUZI SAHIHI KWAO.KUFANYA MAAMUZI KUNAHITAJI NGUVU,SASA HIVI
AMUA NI KIPI UWEZE KUWEKA NIA
YAKO,UKIWEZA KUWEKA NIA KATIKA LILE ZURI NDIYO PALE UJUZI WAKO
UTAKAPOONEKANA.
BADILIKA NA FANYA MAAMUZI SASA.
@Benson Makaya:
No comments:
Post a Comment