Katika makubwa yasiyo kuwa na ncha ambayo hayatakiwi maana
ili msingi kuwa bora basi lazima ikawe imekuwa,kwa tena tusiseme eti ahh
nilijua tu,pengine katika uwingi kila mmoja akasema lake,hapa ikiwa kuna aliyekataa akasema yeye na
mwengine akafikiria yake,hapa misingi inakuwa na uwalakini kutokana na
muonekano wa nyumba yenyewe,
Kwa kile kinachojibanza haki hakitaki kuonekana,sasa hapa
tusifuatilie sababu,wala haina haja ya kusema pengine yaliyopita ni ya
mababu katika bila kufikiri
yalitendeka,hiyo ikiwa hayakuangaliwa mwanzo ama pengine msingi ulikuwa ni
mzuri,
Katika ukubwa nyumba imeisha,katika yaliyo makubwa hata
ukubwa unaisha maana kwa yale madogo ndiyo yanapotea,hata kwa kuonekana
tu,pengine wadogo hao wakabomoe misingi,isiwe tupo huru kwa sababu ya nyufa
zinazoonekana,pengine katika kufikiri ikaeleweka kwamba ile nyufa ni kwa sababu
ya mwanzo haukua mzuri,maana imefika kwa nyumba kuuzidi msingi,haki labda na
nyumba imekuwa kubwa.
Labda kwa kutegemea nyumba kuota na kukua,maana inapandwa,imekuwa ni mbegu
tokea kipindi hicho,na katika mashamba kwa hakuna Yule anayeelewa kama lake ni
bora,zaidi ni heli kupanda kama mazao yataonekana baadaye hayo yaliyo bora,huku
na pale tutahitaji msaada,maana aliyetengeneza msingi aliacha pengo kubwa kwa
anayemalizia nyumba,hivyo yapasa kuoanisha msingi,hapa tukizungumzia hili moja
tu.iisije nyumba kudondoka tukiwamo ndanni yake.
No comments:
Post a Comment