Zungumza katika uwezekano wako,kama vile maumbo yanapokuwa
na pembe na kona zake,vile ikafuatwe ikiwa pembe kali,tena nyingine
zinazungumzika kama ni zawadi kwa sababu tumekuwa tegemezi katika yale
yanayokuwa yetu,inaweza kufika kipindi ukatafuta namna na njia mpya ya kuishi
hii ikiwa mtu ameona siri iliyo moyoni ya mafanikio yake..ikiwa katika
heshima,uelewa,kujiamini,kujua na hata kufanya ili mradi kufikia malengo
fulani.
Ikiwa katika miaka hata maelfu kupita ni uchache wa watu
kuonekana wakiwa na moyo mwema yaani wengine tumebaki kuwa washabiki,ikiwa kama
ni vita basi tutapigwa tutakufa,kama ni njaa zitatuuma mpaka vidonda,kama ni
umbali basi ni kama kuzunguka poli ikiwa kilometa hazijulikani,tutaenda na
kurudi tulipo bila ya kujielewa,ya kuwa mazoezi yetu yamekuwa machache
kulinganisha na uwezo wa miili yetu.
Ni jambo la
ajabu, kwa tumaini hili. Sina uhakika
jinsi utamu ukawa ni sumu, na mara nyingi zaidi kuliko pale haionekani sababu
nyingi kwa ajili yake, lakini kwa mchakato wa baadhi ya asili au isiyo ya
kawaida kitatengeneza zisiozimika. Inachukua mda kwetu masikini kwa njia ya giza miaka kenda na uchungu huu ndiyo unatufanya kuishi, na si tu kuishi,
lakini kufurahisha, kwa sababu inatupa furaha inayoonekana tulipo.
No comments:
Post a Comment