Saturday, March 17, 2012

Makaya's Forum: NI SAWA..

Makaya's Forum: NI SAWA..: .......tunapokwenda ni sawa,kwa kuwa kila siku kadri ya zinavyokwenda mwanadamu anaishi katika ile hali ya kutokusema kwamba!! na s...

NI SAWA..


.......tunapokwenda ni sawa,kwa kuwa kila siku kadri ya zinavyokwenda mwanadamu anaishi katika ile hali ya kutokusema kwamba!!
na sio haieleweki,kwani kwa wasio elewa ni lazima kubisha na kwa yule abishaye asome,aone ili aje ahakikishe ni vigumu kuhakikisha kitu ambacho kipo hapa yaani ni wewe ujuaye usawa wake,na sisemi kibaya kwani sio changu..hapa tunaweza kuleta ugomvi na tuelewe yasiyoeleweka yanatoka wapi?

Tuwakumbuke wenye miwani,tusielewe kwamba hawataona,elewa kwamba watahitaji kuangalia zaidi,
labda kuna muda na akili ivae miwani pia,ile kama unazuia jua usiku.
Haya ya kila siku ni magumu kuyafuatilia,ingawa kila siku tunakaa tukifuatilia mambo ili tufanikiwe kwa kile kitakacho onekana,
tusione nyuma.tujaribu kule kunakoonekana,siwakatazi wale wanaorudi nyuma na kuokota vile walivyovidondosha,au kusahau,wakitumia nguvu nyingi wakiacha mengine ya muda husika yanaendelea
Masikini hafirisiki,maskini ni yule mtafutaji,maana anatafuta nini sasa?na akakae kila siku akitafuta bila kujali ni lisilo na muda au halieleweki,maskini anayetafuta huelewa yote

uelewa kuwa yasiyoeleweka ni yale anayoyafahamu ambaye hajaelewa,
ni ruksa kubwa kuunga mtaji kwa maskini kuliko kwa tajiri maana kwa tajiri pale itakuwa ni kuungwa,labda iwe tajiri naye  ni maskini katika nafsi,na ili tuelewe vingine vipo kwa nini,kuwe na vitu vinavyoeleweka ,tuwashe moto bila mafuta na tuone kama hautachoma nyumba,
hapa tusije singizia ni vyanzo vingine,maana sijui zamani walitumia nini..au ni mayai haya?


ukipanda mti na ule mkavu tegemea,
mapya yapo na isije wengine wakaitwa wao ni wa kila siku,labda wazoefu..maana na mambo yenyewe yanabadilika bila taarifa,ikiwa yanaweza kuwa ya kisasa au ya kizamani anayeyabadilidha ni nani?
maana sisi tumekuwa hatubadiliki,yaani tupo vile vile,hivyo ndivyo wasemavyo waungwana.pengine maskini kuwa tajiri yakuwa imeonekana maskini wengi wanatamani hivyo,tajiri hawezi kutamani kwani ametoka huko.

ingawaje tama inafanya kazi popote,labda tuseme itakuwa sio kila siku,maana hapa tutaepuka ubishi na wale wasio elewa wakati haya ni mambo yao.
Naweza kusema yetu au yangu pia pale yatakapo nishinda yale yangu,hata nisiposema sifai kuchekwa kwani nani anayafahamu haya yangu?ni sawa na kumshangaa yule anayeelewa akiwa anaomba msaada wa kueleweshwa,hata tukasema kwamba Fulani huelewi naye akakataa,
usishangae amekataa ni kwa sababu haelewi

Mengi hatuyafahamu...Tutakufa Maskini...!!
by:Benson G.Makaya
tel:+255714336657
email:bensonsmakaya@gmail.com


DO WE KNOW WHAT FUTURE IS?

With the goal of reaching the understanding must arrive in an environment where you say its your time and to each of us to hear there,
 I do not know what is right to know coconuts trees than our bodies?
 Simply that it provides plenty of fruits and know you will bring forth when again without knowing what you are doing,
in life we ​​lived complex has been much less to do what presidents have to be difficult, the former was to give much our sisters.while are serious cases we receive instructions without to know  others have come out.. or we were also favoured by our clients? by our parents.. because they gave our mother's womb ...

Becoming the new others have been happy with it, I can say is strangeness when making of  your own because you accept  Foreign as well as bring development to remember the beginning
 Maan… we say every man take the number it while we were at school,
this stranger was never the same, he is a host, for in spite of knowing importance of what the benefits would have been unconscious and in a loss too,
as coming contrast, one can not want to kill you when you do not want die, it must be said, once you die you will know,because only difference is that possible reasons unknown in advance.

When we sat complex we must realise that easy,
 lest we become the rights and refused to go that is hanging tough rightously.\when you leave behind and look for the alternative likely you know the way through your life,
 if the faith of the complication is that you don’t need

See not every day we say life is good
, Here we have won some things, things that every person has it, what the liking not of you for once had no need to do,
here have we desire to be like our own, ie as it is to me, then to continue to be the  best through me more and not as some

When we test the life brings happy as well as to when the teacher says his students have responded well,
 fear comes when he says, though still not corrected, but he saw in his way,a teacher,

Life has not to make a  man hardship,no matter gender it’s the way through creation
when one wants to go to his life to understand that each day, what disturbes us?

Fulfill when  you see, because its your HEART!!

Benson S.Makaya
Tel:+255714336657
Email:bensonsmakaya@gmail.com.

Sunday, March 4, 2012

Makaya's Forum: SELFISHNESS(2)

Makaya's Forum: SELFISHNESS(2)

SELFISHNESS(2)


(Version 2)
Where there is offended….

Doubt is part of the consciousness of the problems that have no point in it,
Shelves brings difference in heart,
 None are understandable in the form of intent,
 All the shelves are the actions or even thoughts as would come from the one and move elsewhere,
If you really must accept because we refused, we may put doubt,
 What we have seen its small is that brings peace,
 That we stayed together,
 We as brothers and sisters we can do things together,
Things belonging to developments
 Because we are so,
 Peace to make a live lock,
Arrears of doubt brings violence,
 Being much to every one and bring no understanding,
Domination of peace for those things and core continues forward,
 Surely the bad happens more when peace is out of surroundings,
 Most being with money we feel those who don’t have for them on the other hand things can not,
 Become blemishes in the hearts of others,
 that we love to see just by knowing the present we can determine renewed without looking where we will pass because the latter is uniformity,
 Different drivers,
A different way,
And how it is operating is different in all meaning.
Without peace makes existing lips and hearts lost,
 if there be of our lives we have decided to be offended to know when we will be seen that,
 Since there is a visibility turtles different from the real, not knowing what is ignorance feeling of inhabitant human,
 Human, life is going on,
And it may come again,
if where it goes is exactly what we know and where does each one take what is and trust in him/her as the generations become a lest for Their Reasoning for correcting doubt we have.


…KEEP PEACE.

By:Benson G.Makaya
Tel:+255714336657
Email:bensonsmakaya@gmail.com                                Gk point

SELFISHNESS …


 (Version 1).

Don’t like much to be comforted, calmed.

In those which proceed in the world,

 love has held the position as if it is the guide of our lives generally,
 to man the way we feel ought to be comforted and calm, too much,
 is a result of the overcrowding of life that usually we can call them problems,

 As if some say they are comforted comfortably as exceed so much that restore the problems,
Suffering is almost as problems are, that make human activities that may be not planed in our lives,

We got up to go somewhere along the border elsewhere, if we recognize that without understanding where the problems existed even time exists,
 This means time of trouble,
 This time but tend to be servant of problems for the purpose of bringing comfort,
Time is lost to understand,
And here we can assume that we have failed and the time running,
 because we are the physical as we felt,
 when we get problems we want comfort if we have missed to console ourselves,

 Although comfort find it is not in place there but clearly is ourselves to bring about at the time we need,

if souls are united by the presence of our other, then as our need are necessary and others may, 
if it is through the soul of man,
 we look at where we are going, 
where there are a lot more and even be considered,
 so because these writings never was,
 then came the moment which by that time it was then,
And later is now as well.

 to know the value of someone else, 
love,
 if one can appreciate the value of someone else, 
then it also has the ability, 
and so be it, 

because by then it brings the advantage, 
lets not come to know those advantages without LOVE,
 if we can get hard and then we may not give  problems ourselves when we have sympathy and possibly sorrows ever since we sat back and reflected consolation,
 What we feel is appreciated.

Around all those…


COMFORT,  
DO!!

 Gk point.

Friday, March 2, 2012

DALIUS-


DAILY A MAN LIVES IN UN-CONDITIONABLE SITUATION.

Tunaweza kusema hakuna chochote kilichotokea au kitkaachotokea,
kama mambo yanayopita kwa kuja na kwenda,ni kama wanavyosema na  sisi tufanye
Haina maana kama tumemsahau mungu,
mungu nilinde mimi ni kwa sababu ya kutaka kubadili,
yale mambo yaliyokuwa mazuri kwa upande mmoja yahamishiwe na kwingine yasambae,itakuwa ni kubadili,hata kueneza ni kubadili muonekano,
tutofautishe pale palipo na wakati wake,

Pale ni mahara, na isiwe  tukabadilika na kuwa katika mazingira yasiyoeleweka na muda uliotumika ukaonekana hauna maana ya kuwa kila siku watu hawaelewi,hawaelewi kama kilichofanyika ndiyo kile kisichoeleweka au ni ajue maana ile ile.

Binadamu wengi tunaishi katika mazingira yasiyoeleweka,
ya yale mema ndiyo ya kuchanganya zaidi,watu tunakuwa hatuelewei hilo,hili la wema kwani hajulikani ni yupi,na hapa ndiyo kuna kuchanganyikiwa kadri ya siku zinavyoenda
,ni kunatokana na mazingira tu,na hata ukahama na kwenda kwenye mazuri  lazima yasieleweke,utasikia mimi ni mgeni,ili kwamba nafasi apewe mwingine,
hilo halitawezekana,ni gumu.

Wageni  wote watoke nje,tusichanganyane katika zile namba za mwanzo,kama mtakaa basi tufanye wote na tuambiane cha kule,kule kwenyeji,ati mlifanyaje?
Aah siwezi yenu yale ni magumu hayaeleweki,
mgeni kaa chini.haya tutajaribu kuyazoea

Haina maana kufikiri nyuma sana wakati mbele tunaenda
,ni mwanadamu yeyote labda awe na kinyume
kwa pengine italeta maana,ndiyo naye asome na kuyaelewa hayo ya kinyume,kwa walio mbele sidhani kama wanaweza  kubadili welekeo maana yaweza kua nyuma kukawa na mwonekano mzuri machoni pao,
na hapa ikiwa sio ukweli ni nyuma bali ni mbele kwa yule aliyekosea mara ya kwanza

Tunapokwenda ni lazima tubadilike,
sio tu kwa heshima ya baadhi yetu ili kuonyeshana ukubwa ni kusema shikamoo,hapa watakaochelewa lazima waonekane,
ni kwa sababu wamekuja katika muda tofauti,hili litasemeka..adhabu zinaweza kutolewa ikiwa tu tutazidi kutokuelewa ,maada zaidi ni kuhusiana na huu muda,
usiotaka kurudi nyuma na ikijaribiwa anaonekana yule aliye na wake,
tukavilaumu vichwa kama changu yaani wewe``changu yaani wewe” hata tusipoelewa yote hii ni kwasababu ya dalius

Tusidhani haya unayoyaona yapo,yenyewe na kwa kudhani ni yale yasiyo kuwa na muonekano wakati wa kujibu maswali ya kila siku,
haya maswali yanayohusiana na muda yaani wakati na tukio muhimu,na ndiyo hasa tukasema ni pale..yani ilitokea,
hii yote ikiwa nazungumzia yale yasiyoeleweka,katika muda halisia.

Ili kuyaweza mambo yasiyo eleweka kama kuyaacha ulishindwa basi badilika!!

By:Benson G Makaya
email:bensonsmakaya@gmail.com
tel:+255714336657

Makaya's Forum: ELEWA 2

Makaya's Forum: ELEWA 2 :   Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye n...