Wakati ni muda,nafsi ndiyo hutofautisha miliki.Nikasema hivyo utofauti nitakao kuwa nao ni mkubwa zaidi ya fikra zile ukafikiria,unapotamani sauti kuu ni lazima uinue midomo na ikasikika kwani uo ndio unaweza kuwa wakati wako,watu wakataka kukusikia au kuiskia sauti yako wakati ule ndio halisi walikuwa na furaha yale ya mwanzo usiulize ni nani yule na labda hapa nawazungumzia wengine zaidi,inapofika wakati umetaka kujua ni wazi umeguswa kwa vile namna iliyo moja na nyingine,kama kazi ya baba ni Fulani basi mama afanye nyingine na yeyote kivingine ikiwezekana kwani ule wakati walivyooana uliweza kuwa sio wao,ni yanatokea tu labda ujue ni namna gani muda utakaa kwani na wenyewe huwa hautaki usumbufu kwa kusikiliza tu itasahaulika kwani na wengine sio wapenzi,ilivyo kwa watu wakachagua wamuabudu nani yule mwingine akawe na damu yake iliyotofauti na wengine,hilo nalo usibishe zaidi Kumshukuru yule aliyefanya hivyo,mimi naweza kuwa sijulikani kwako lakini Mungu kwa hapa yote ameweza yeye na uwepo wake ndio unakuwa katika nafsi za watu wengine pamoja na sisi.
Ikiwa Mungu ndiye mwalimu mitihani hii tunahaki kuifanya sisi,kwani hata ukakimbia ni unajisahihishia mwenyewe tatizo ni chaguzi yeye anaangalia nani amejisahihishia vyema ikiwa ni kwa uaminifu,na endapo ni wewe na utakuwa ikiwa hata kiupendeleo huwa inatokea, ,maana njaa za kila siku hizi hazina mwelekeo maalum,ukiwa unajua nalo ni neno la aibu sana,kwani yule anayetegemea kuishi anataka kuishi ili aendelee kuishi sasa sijui tutaishi vipi,na wapi maana huko mbele ndio hakuna mwelekeo kabisa,wakati mara nyingi huwa unakuwa ule unaoweza kusemeka,sio wakati wa mateso ambao mtu anachagua mwenyewe,kila kichaguliwacho ndio kimekuja kufanya kile kitakacho tukia na mengine hutokea bila kuchaguliwa ni kwa sababu yanataka kuonyesha kama yapo yametokea wengine tunapofanya yale yetu tunayaweka nyuma ikiwa tunataka tuelewe yale mengine.
Haki Hata ukikimbia haitakuja kwetu,ya kuwa utakuwa unamkimbia mwenyeji na ukizoeleka zoeleka kwingine watataka haki yao utatoboa mahala wengine watumbukie maana hata kwa uchache huu tunasumbuana dadi haitishi kitu maana kila mtu na wakati wake yaliyopo yapo na yaliwekwa ili uyatendee labda ubaki nao huu wakati ili usije ukawa wao wakaenda na wasirudi nao.
By: Benson G. Makaya,
Tel: +255 714 33 66 57.
Email:bensonsmakaya@gmail.com
webbrogger:www.bensonmakaya.blogspot.com
No comments:
Post a Comment