Mavuno ni baada ya kupanda,mtu unapanda mbegu ukitegemea kuvuna mazao iwapo katika uchache ama wingi ndiyo pale unapoweza kusema
mavuno ni mazuri au mabaya inategemea na lengo lako mpandaji.
Labda haukuelewa nini ilivyo kigeugeu,ikiwa
aliyepanda mahindi akategemea kuvuna dagaa,hiyo itakuwa mbali sana na ukaribu
utakuwepo kwa wale walioelewa moja kwa moja na usijue ni wapi haujaelewa,ambapo bado hujafanya haina haja
ya kuuliza.Pale unapopanda upendo hata vurugu unaweza kuvuna,haya mengine
sijui yanatokea wapi maana utayaacha mbali ukisema hautayafanya tena,hivi
navyo hata vile.yule anayekaribishwa chakula akasema asante umuulize kama ana hamu ya
kujua ni chakula gani anachokaribishwa,maana utatia aibu kwa yale machache
tu yakusikia harufu ya chakula cha jirani na kutofautisha kile cha jana ulichokileta mezani na ukapelekana mezani wakati si kile dhabiti ya tumbo..jirani Yule akatake
kuijua radha ya chakula,amalizapo unamwita mtoto kwa kula kidogo na kikubwa hakikuwepo,utacheza sana mashambani ukililia mbolea na
wakati uwezo wa kulima ni bustani,kumbe unachafua mazingira na hao wachache
ndio wanaoelewa,ukiwamo haina shaka mazao mengine bora yakabadilishwa maana
hayaeleweki bado katika mavuno.
Muda bado unaenda.ikiwa umeelewa kwamba unahitajika kuvuna na kupanda mazao bora ni lazima ujue kama na hiyo mistari
imenyooka,maana haitakuwa vyema pamoja ukaweka na visingizio,hapa usiite
majina ya kiujumla.kumbe kunyoosha ni kuelekezwa,ikiwa shambani na ukaelekezwa upande vile natukapanda tofauti haitamaanisha kitu katika ukubwa wako,mtu na
maamuzi yake ndiye akaamue sahihi kile cha kupanda,ili aje avune hicho,sio
tegemezi ya kupandiwa mazao alafu ukalalama wakati wa uvunaji,eti na mpandaji usimwelewe alikuwa anafanyaje au mda wote huo alikuwa anategemea nini ikiwa
wewe unasubiri,ingawa sio wote wakulima basi utajaribu kuwa hata mpandaji.maana
itafutwa kwa yule angalau ameliona na kuligusa shamba,wengine wasifahamu mazao
hayo yametoka mahala gani,wakasikia na wasielewe ya kuwa wapo mbali sana,vipindi
huwa vinabadilika ikiwa ni shule utasoma hesabu,kiingereza na mengineyo yakiwa
na maana..kama wakulima mwenyewe hujasoma na hujui kuhesabu sijui hizo biashara zinafanyaje kuendelea,ukatumia nguvu nyingi na zisiwe
na maana katika malipo.
Unapopanda upande mema,hata kama ni machache unavuna kwa namna hiyo iliyopo,na ni nani yule aliyepanda kichache akalalamika kuvuna hicho?labda usihesabu mavuno ukahesabu mbegu,na kila mbegu ije na vuno lake bora.
By:Benson
G.Makaya
Tel:+255714336657
No comments:
Post a Comment