Kweli mwanzo ni mgumu.lakini sio kila lenye ugumu ndiyo linaanza maana kuna mengine yasipo kuwa yako bila kutambua unaweza kudhani yameumbwa magumu hivyo yenyewe huendelea mpaka pale yatakapo kuwa marahisi na labda usitake kujua tena maana haukufahamu mwanzo kama ni magumu.na yaweza kuwa isiwe mwisho wake ikiwa imeaminika kuwa yanakuja na kuondoka,kama yanabaki basi yamependezesha mioyo katika namna yake ingawa ya leo sio ya jana lakini inawezakana.
Leo ni siku maana sijui kwa nini hata watu tungalikuwa muhimu kuliko siku tungeitwa siku.siku hii au ile tukaitofautishe na namba,tunaweza kutofautisha mengi sana hata siku zenyewe zikawa hazina maana na kutokujua ni lipi na ipi.maana hata jumapili imeshirikisha namba,na wengine tukapumzike hapo.kwani yapasa kuzijua hesabu tena tuzishike kabisa kama ni siku ya saba au ikafahamike itafika siku utajua kwa nini unakula mara tatu, na pengine je ukaamua sio wewe tu hata hali ya maisha ikaamua maana unaposema haiwezekani ikiwezekana huwa Mnakaa kimya
Unajua juu juu na hakuna lolote ikiongezeka basi ujue hiyo ndiyo tabia ya namba hapa namba zinasema ni lazima kutangaza maana ndiyo zimetofautisha siku,haina haja ya kuhesabu matendo labda useme ni siku ngapi zimepita mpaka sasa,maana zinavyokuja si ya kwamba hayakugangwa yakutokufahamika na hapa tutajua kama za nyuma tulizitegemea.
Ukubari kutoa shukrani ingawa mengine yaweza kuyafanya mwenyewe shukrani huwa zinampata Yule aliyepewa,hata sikuweza kuwafahamu wazazi pale kabla sijazaliwa yaweza kuwa ulikuwa ni wewe hapa haiitaji kuongeza neno kwani bado sina meno,Zaidi ni kushukuru kwa Baraka na hekima walizokupatia
ASANTE BABA NA MAMA.
LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA...
No comments:
Post a Comment