Saturday, May 26, 2012

MAMBO MANNE KWA WAKATI MMOJA,



La kwanza mimi silitaki kuliona,Linavyokuja utasema limetumwa,maana kasi sio kasi,mwendo kasi sio mwendo kasi,wala hata mwendo kenda sijui tukaita nini,dunia inaendelea kukuwa na mambo yake,hakuna chaguzi lililokuwa sahihi,kama vile mwalimu alikosa na na baadaye akawapa mtihani mnadhani kuna kupata swali hapo?maana kama vipi maksi zitaganywe,tena kila mtu akabaki na chaguo lake,maisha ya kuishi kipumbavu siyapendi!!!sasa sijui tunaishi vipi,maana mwalimu akiwa chizi kuliko mwanafunzi hapo lazima mzazi aingilie kati,maana laaana za siku hizi ni za wazee wale waliodhurumiwa mali zao,sijui hawakupata vyao?ama ndiyo walivyovitunza na baadaye kugawa kama vyao…hili zoezi ni kubwa kwanza mimi sitaki kuliona

La pili niache nitafanya baadaye,maana nimechoka na mizunguko ya matembezini,pengine tukisema mjini na wakati ni temboni tutakuwa tunajizungumza bila kujijua,pengine tunasema kama mwanafunzi anapotaka kuwa kama mwalimu,maana mwanafunzi anachofundishwa ndicho hicho hicho cha ualimu,napenda saana kuwa mwalimu,najua napofundisha wanafunzi wangu watatamani kuwa kama mimi,maana kama mtu hajalionyesha lake..mpe lako pengine,majaribu ni kuweza,ukiwaza yangu yako utayaweza.hili liache ntaliongelea baadaye kidogo

La tatu ahh me siliwezi,lakini ngoja nijaribu..ndiyo baadaye imekuja,tumeskia tukisema jaribio ni kuweza,maana alijaribuje?kama alifanya basi aliweza,na ndiyo maana hata kulikuwa kunakungoja,ngoja ni kusikiliza,baada ya kuendelea kusikiliza matumaini yatakuwa sikilizia,matumaini yamekuwa baada ya kutaka kujaribu,tena matumaini ni yale ya kushinda,maana lilikuwa haliwezekani ‘lakini ‘imeleta matumaini ya kutaka kujaribu,na mtu anapojaribu iwe katika kuweza ama kushindwa kwa kuelewa huanza moja,hiyo yote ikiwa ya kutokujaribu tena,swala lingine linalokuja

La nne kutokujua kama kuweza,hili linapoteza matumaini,najua wengi wao watachukua vyao pale mchele wanapoanika nje,hata ndege,kuku,njiwa na vitu kama hivyo,hapa nikitizama nyuma naona kama hatukujua kama kunawezakana pengine tukajaribu kwa nguvu zote,maana wote hao ni ndege tu,sasa sijui ndege ndo nanii….?nikisikia hili neno nakumbuka ‘aeroupleni’kipindi kile darasa la ngapi sijui,tuna hamu ya kusafiri,lakini tuna hofu ya maisha yetu,ikiwa kimazingira yatayotofauti ikiwa bado kuna kutokujua kuweza

‘Hofu haionekani kwa macho’kila mtu anayo

No comments:

Makaya's Forum: ELEWA 2

Makaya's Forum: ELEWA 2 :   Mateso ya moyo huudhoofisha undani wa mwili,unaweza kubadili mwelekeo hata ule uliotakiwa kuelekea baadaye n...