Lugha ni chombo cha mawasiliano,watu huwasiliana kupitia
lugha tofauti ikiwa nao wako tofauti,bila ya kuzungumzia nadhifu za nje,lugha
inakamilika pale mtu anapotamka,pale mtu anaposikiliza,kutumia tuseme kutamka
kwa lugha nyingine ni kuongea kama ilivyo kusema,kama ikiwa tunaweza kusema
Fulani ametamka lugha chafu,tuachane na safi ili kupata jibu la kusema
matusi,maana tunaweza kutoa lugha chafu tukidhani tumetamka,kumbe kutoa pia ni
kusema,sasa tuseme kipi?maana vile tulivyonavyo tumetoa,hatukuweza kutamka ni
kwa sababu pengine yalikuwa matusi kwa vile kuna lugha safi pia.tukiangalia kwa
Yule anayetoa lazima alitumia nafsi,moyo kwa lugha nyingine,kama vile iwavyo
mimi na mwingine,lakini wote ni watu,hapo kuna utofauti ya kuwa kuna vitu zaidi
ya kimoja,kama moyo ulitoa,mdomo ukasema,kishikio kikashika na macho yakaona
hiyo itakuwa ni lugha,sema tuseme ipi sijui zitakuwa lugha zaidi ya moja.
Tunaweza kuwasiliana na watu tusiowajua,tunaweza kusema na
watu tusiowajua,tukazungumza nao,kwa lugha ya namna moyo ulivyokusudia,kusudio
la moyo ndiyo lugha nyingine hiyo,kusudio ni kuzungumza..yaani sio kama
alifanyaje Yule?hapo tutataka kuongea lugha zote,ila tukisema lugha zote neno
papa au mama si hata kwa kusudio tu unaweza kuelewa,hapo ndiyo lugha
inaendelea,kwani watu wanakuwa na makusudi sasa katika kufanya,lengo la yote ni kuweza kuwasiliana,tena ikibidi tuiongeze
na mitandao,iwe mingi na watu tuzidi kuwasiliana,maana jana tu wengine
tumeuliziana,kweli lugha inakumbusha,maana hata pengine tukasikia mawe yanaluka
juu ya bati papa lazima utoke nje.tena umwache mama akiangalia watoto,na hapa
tujiuliza nani anajifunza mwenzake,maana papa kasikia mawe batini katoka nje na
mama akabaki,lakini hawakunzungumza,au ndiyo ishara ya kumwita papa hiyo?maana
naye mama yawezekana haifahamu lugha hiyo,na ili kuchanganyana tutaambiana,papa
yenu ameenda kuangalia vibaka huko nje,tulieni ndani..”tutatulia ndani na
wakati mawe yameacha na baba harudi”
Sasa tunatambuana,kwa maana ya
kusema,kusikia,kunusa,kununa,kuchukia,Kunipenda mimi..hapa tukipenda tofauti
itachukiza na tutarudia lugha mara mbili,lugha yetu inatutambulisha,tunaposikia
kuna mswahili,mchina na mzungu hapa lazima tujue kuna lugha tatu,isisemeke tu
kitaifa,bali iwe tu kwa manufaa,maana kama walivyosema kwa kijiko ikaja kisu
hapo tutatumia miguu kulia chakula badala ya kushoto,hiyo nayo ikiwa ni
lugha,tena watu walizungumza huku wanakula…sijui ni vibaya hivi.
Tumetumia lugha chafu sana wale tuliosoma,tulioona na hata
kuandika,hata kusikia na isipokuwa hivyo kila mtu atafundishwa kwa namna
yake,lengo likiwa ni kuelewa,sasa hata kama tutabisha kwa upande mwingine
yatakuwa kuonekana ile imebishika,hapo tutakuwa tumeelawa baada ya
kuwasiliana,kukutana baada ya kuwasilisha na kuonana baada ya kunipenda
mimi,maana mimi ndiyo wako.
KISWAHILI YETU TAFSIRI.
No comments:
Post a Comment