Pengine unatenda tofauti,pengine hautumii akili Yako wenyewe,pengine unatumwa bila kufikiri,akili sio kufikiri tu,akili sio uwezo
akili sio namna ya mmoja akaelewa ya mwengine akili ni namna ya wewe ulivyo,kinachojulisha
matendo yako,fikra zako na kile hasa kinachoonekana kwako maana unaweza
usitende na ikaona ni akili yako,labda wametenda wengine,labda ilibidi ufanye
wewe,lakini bado ikaonekana sio wewe yaani hata kama imefanyika basi uwezo
ukawa ni mdogo au umekimbilia upande mwingine maana unautafuta sasa na bila
kuonekana,yale yaliyoonekana yamekuwa machache,hayajaweza kutimiza maana,ikiwa
inayotakiwa si ile tu wanayoitaka wengine,ni ile ukasema wewe sasa,katika
kushangilia tunajumuisha akili,hapa nazungumza na watendaji
Pengine utende wema na kwenda zako,pengine utende mazuri
na kwenda zako,hakuna kuomba yasiyo na uzuri kwani mabaya yapo mengi,tutarudi
nyuma kuelezana uzuri lakini ile kweli ya akili ipo ndani ya wewe,yaani mtu
ndiyo maana ya kupewa uwezo.akili humfanya mtu,akiwa na umbile si vitisho kwa
wenye akili maana wao hutenda yao,ni kama pale katika kusoma,ni kama pale
katika kuelewa,wachache wakapewa uwezo wa kusoma,wachache wakapewa uwezo wa
kufikiri,wachache wakafanye maana wao walikuwa hawajui namna,tena kwa hapa sio
ya kwamba ilitokea,bali ni kwa akili zinazokuwa thabiti zinazoweza
kufikirika,ni akili zako zinakutambulisha
Yaliyopo yote umeyakuta,yanayokuja yote ni akili,ni ya
ufafanuzi hata wazazi wetu wakatutegemee kwa baadaye,maana kwa wengine wasio
kuwa na kujua si kwamba hawana akili,hawafikirii zaidi ya kufikiri vile
ilivyofikirika,hapa nikiiwa na lengo la mwanzo lakini sio kurudisha akili
mwanzo,usikae chini kupoteza muda maana na akili zinakuwa,unashindwa kwa
akili kupitiliza uwezo wake,ama uwezo wenyewe kupita mahala pale akili
ilipofikiria,hapa huwa nachanganyikiwa,hapa huwa nakuwa na mambo mengi,pale
akili inapolindwa na kuendeleza hufanya hivyo,maana imekuja kuwa kubwa kutokana
na kujazwa,kama vile ilivyo kwa ujazo usio kuwa na chombo labda na kwa wenye
akili za kiupande Fulani kuona katika namna Fulani hiyo hiyo,
Akili haimbadilishi mtu,akili haimwendeshi mtu,labda mtu
anaendesha akili yake,tukisema matairi yanaendeshwa na gari hapo utautafuta
mwanzo kwa vyema,maana isije kuwa yalipaswa kutembea pekeyake japo ukaongezeka,wamekufa
ndugu wengi sana kwa ajali zisizokuwa na uendeshwa na akili,unaweza kupata ajali za kimaisha kiujumla,ukiumia kwa mateso ya viungo
na mwili,ukiumizwa na maisha na dunia kiujumla,akili zako ndiyo
mwongozo na kipimo kikuu cha imani,pale inapofika imani imekuwa si lazima akili
kukua,yaweza kuwa akili imekuwa tofauti ilivyo na imani ya mtu mwenyewe,nikiwa sizungumzii imani basi husisha hata akili,maana hata akafika mwislamu asimwelewe
mkristo ,ni akili yako tu
No comments:
Post a Comment