Tuchague pale tunapofanya,tunakuwa kwa vile hali zinatufanya
kwa kuchanganya na mengine ni kama kutoa,labda pale tunapofikiria
tofauti,zikiwa hazina idadi kwani ndiyo hatutaelewana,pengine tuendelee
kutoelewana,yanaskika mengi yanaogeleka mengi na ndiyo tuendelee kuyatenda
hayo,tukiwa hatukutaka kutenda mojamaisha ikiwa ni kutafuta tu,tuseme njia
ndiyo zinauwalakini muda mwingine tujachague kudanganya,maana tumedanganya
mengi sana kama ni kusema uwongotena ni walongo kabisa,muda mwingine tupeleke
mbele mambo yetu kwa maana tulikuwa vile kwa kipindi kile,sasa wakati
unajificha tena na mambo yenyewe yakidanganya kama itakuwepo tena pale.
Tunapopotea tunajua maana ya kuwepo,ali ikafika tukataka
kurudi pale palipo salama maana ndiyo nyumbani,haya yasipoteze maana kwa
kutokueleweka ama ikiwa ni kudanganyika tena ikieleweka hivyo iwe ni mtu
amechagua mwenyewe,ikiwa kama nafasi inayoshikirwa na mtu wa kwanzahuogopa kuwa
ya mwisho,pale tukaseme basi kristu turudie na uje upate mateso tena tutaambiwa
tunamchezea mungu ya kuwa alikuja mwanzoni,pengine hata wa mwisho akaogope kuwa
wa kwanza,ikiwa kuna bahati ndiyo maana na furaha zikaja,kuwa wa kwanza sio
nafasi ya mchezo mchezo hata kwa wale waliopungukiwa akili wa wao ieleweke
kwamba mtu huyo yupo halisi katika kuufata uzima.
Usahihi huj ani baada ya kutokea,pengine yaliyotokea si
magumu sana bali yalipewa muda,na hapa tukae chini tuone kama muda tuliojipatia
ni dhahiri yastahiri kufanya masahihisho,pengine tukawa tumewahi sana na
baadaye tukaja kufeli katika namna ile ya mwanzo,ambayo hiyo ilikuwa kama
tunafanya na sio kujifunza,pengine tunapofanya mambo yetu tunajitahidi sana,na
ikawe kwa mwanadamu kuonekana ni mpaka kuweza,hapa tukijua hakuna kuweza kwa
sababu hata ilivyoonekana ni vibaya kwa kusema haikugundulika vile.
Tukae tuote tena,tukae tufikiri tena,tukae tuwaze na kujua
yapi ni mema maana kwa kuyatenda mabaya,ama yale mema basi yakawe katika
usahihi saidi,yakaunganike kupitia mawazo ya zamani na maumbile ya sasa,kwani
kinachotakiwa kufanyika sio tu kulima bali hata kutengeneza majembe kwa ajiri
ya walimaji ili kuondoa utegemezi,tukiwa tunategemea sana hapo tunakuwa
hatueleweki yakuwa tumeshikiliwa misimamo,hapo tunahitaji jambo ushirikiano.
No comments:
Post a Comment