mtu bora mwenye uelewa anakuwa bora zaidi pale
anapokuwa,ikiwa ameelewa tu kama alianza kukua.maana ni kumbukumbu na yastahiri
kukumbuka,hilo likiwa ni chaguzi lako,pengine namna ya ulivyoelewa.ikiwa ni
kucheza ama ndiyo kutafuta maisha.
sio kila lipigwalo ni
ngoma,pengine tukadhani ni king’ora,maana nyie hamsikii hata kwa
tarumbeta,wamepiga sana kengele lakini waliotokeza wachache,leo tunaingia huko
huko mpaka tusikike,sijui kesho ije nitakiwe kusikika,nimesema wewe kwani nafsi
yako niliiunganisha na umoja wangu,hivyo kitakachopigwa yastahiri
kukiitikia,maana yaweza kuwa kwenda njia ya uzima,hapo tutapenda kupigia
sana,tena kwa spika zikiwa karibu maskioni,si tunacheza!!
Michezo ipo mingi sana na uzuri wake ipo duniani,basi hapo
wewe chagua unataka upi,maalum kwa kuushangilia,pengine katika kushangilia
ikashangilia nafsi yako pekee,na hilo ni ruksa kwani bila hivyo isingekuwepo
hata hiyo moja,na kila mtu akaelewe mbili yake,na mwenye thubutu la kufika
asimame na aseme,mimi nimetaka vile,sio kujaribu.maana tutashangilia huku tunaburudika,shangilia
nyingine yapasa kuwa tofauti eti,yaani vile vya wachache..
No comments:
Post a Comment