Sio lazima kuuongelea wakati uajo bila ya uliopo,ni watu
tuliopewa hali,mali na utambuzi mkubwa sana juu ya dunia hii,inapofika kipindi
haujajua kuhusu hali au mali basi jaribu kuelewa maana ifikapo baadeye hiyo itasemeka
ilipokuwa zamani,zamani ilikuwa ukiamshwa kutoka kulala ni kula ama uende
shule,nikiwa nazungumzia vijana wazee ni vigumu hata kukumbuka enzi zao.
Tulivaa vizuri bila majina yetu ya kisasa,zamani bwana ni
kama majumba ya kitasha,maana utakutamani kama vile kwa mwizi pale mlango
unapokuwa hauna kitasa,tunaenda tunafikiria mbele,tunaenda tunaangalia
mbele,naipenda sana hii namna ya vijana wa sasa,maana wale wazee wa zamani
walitabiri mavazi yao,na kama ukifuata matakwa yao jiandae kuwa maana watu
wamekuwa zamani.
Zamani kuna mengi ambayo hata hayasemekani,zamani hata
sitaki kutamani maana nikikumbuka ni sawa nguvu kuirudisha imani,kuna watu wa
kisasa wana akili chafu sana,hii ikiwa ni tofauti na zamani,kwani kwa kuwa na
muonekano mpya na akili za zamani,ama tuseme akili za nje lakini mwili ndani,hatari
sana tukilinganisha ya sasa na zamani.tutaenda kwa imani tu.ya zamani ni
mengi,hapa yalikuwa kama chenji tu.
No comments:
Post a Comment