Leo imekuja yakupasa kujua faida za uwepo wapo,hakuna Yule asiyeeleweka
japo kwa uzuri wa uwepo huyo si mtu mwema,pengine wewe kuwa sio mtu mwema,maana
kuna uadui.ni sisi wenyewe tunaofanya ya wenzetu na kutokujua kwa nini
tunafanya,maana hapo ndiyo tunajua faida zetu,kuwapo ingali hakuna maana
hakuwezi kuleta faida,kwa maana ya kueleweka,pengine mwengine akakwambie
haueleweki,hii ikiwa mtu anataka kukuelewa yeye anavyotaka,maana kama umekuja
kuielewa yangu hii haipaswi kutokuelewa faida zangu,maana si zako labda
nitakunyang’anya.
Kuna faida kubwa ya kuwepo duniani na kujitambua uwepo
wako,siku hizi hadi watoto wanataka shikamoo maana wakitumia faida zao kama
wakubwa,sio vile kwa kuwa ukubwa ni uzoefu,biashara zipo nyingi sana za
kufanya,kama unaona unapata faida ndogo thubutu kufanya njyingine,pengine ujue
wapi utapata hiyo faida kubwa,pengine ni vyema ya kuwa kumekua na
maendeleo,haya ya teknolojia kiujumla,maana tusipoangalia na faida zake
mwishowe tutaumia.hapo tunaweza kujua kama sio kila linalotegemewa hutokea vile
ilivyo,ila huanza hivyo na ndiyo faida za namna ulivyofikiri.
Leo nchi imekuwa kubwa,watu wachache wakitumia faida za
nchi,maana wao kuwapora wenye nchi,mchanyiko katika matendo ndiyo uhalisia wa
kutaka kujua nini zaidi,siku tutachanganyika na kihalisia tutajua faida zetu na
hasara,maana mwanzo huwa hautegemeki kuhamisha msingi zaidi ya kufikiri kukua.pengine
bado hujajua nini faida zako,huo ndiyo mwanzo kwani ikiwa japo kufikiri.
No comments:
Post a Comment