Ni katika kuanza mwanzo,pale ikiwa kuna makosa ama ni njia
mpya,ikiwa unahitaji la kuwa peke yako ama kukaa gizani ikiwa jua litawaka
kesho,hivyo ni lazima kufanya katika uwezo wako ili inayofuata ije vizuri,pale
inapofika kipindi cha kuanza upya,moyo ukiwa na yake kama mistari ya rangi
ikiashiria mvua kunyesha pasipo taarifa,ama ni kuzuia endapo italeta
uharifu.miaka haita weza kuchukua vile ulivyofanya,ikiwa nafasi ya kuanza upya
ni pekee kwa sasa,hivyo bado ndoto zitakuja kweli.
Ukiwa muda uwapo na upweke sio peke yako,njia yaweza
kuonekana nyembamba ikiwa hata sauti hazisikiki,pengine sauti ndiyo zikatembeze
nafsi,pale unapokuwa peke yako,hiyo ikiwa umeishia hapo unasubiri kile maisha
itakuletea,katika kila maisha ikitakikana asubuhi njema,kwa mabaya ya maisha
kuyaacha na kuchukua nafasi yako iliyo mpya,pengine ikiwa ni muda wa kufanya
vile uvifanyavyo,yaani ipasavyo.
Magumu huwa yanaonekana baada ya kufanyika ikiwa
haikueleweka mwishoni utasikia ‘nilijua’maana hata ya kushindwa yanajulikana,na
hii ikiwa kwa kufahamu ama kwa vile ilivyo inavyoweza kwa makosa
kuyafahamu,maana kwa kipindi kilichopo yahitaji kuwa kiongozi bora ndani ya
maisha yako,ukiwa kijana anza kwa kuweza hata kuendeleza maana yote yanayokuja
ni baadhi ya yale uliyoyafanya mwanzo.
No comments:
Post a Comment