Hakuna kusamehe kama inakuja nakukumbushiana,maana bila ya kupata baadhi ya machaguzi pengine hata ingalikuwa ni kifo maana kwa vitendo vinavyotendeka yaweza kuonekana kama umeona kumbe ni swala la kukimbia majukumu na kukata tama katika yale unayoyafanya,mwanzo ukitegemea uwe mwisho pengine utasubiri sana kwani inapoisha huwa kama inapoanza,pengine tukiweka katika jambo lolote na ya kuwa ni msamaha basi isiwe kama ni ugomvi,ili ikiwa ni mwanzo kweli mbio ziokoe taifa.
Mageni mengi ndiyo yanayotaka usaidizi ikiwa ni mwanzo wa kutaka kuelewa ama kutokuelewa kwa lolote,pengine mambo kwa walio na mengi ni bora kuanza na machache kwani katika kushugulika na mihangaiko ya huko kukutana na wengi,ya msingi yakiwa ni mengi kwani hayo ndiyo uliyonayo,siyo kwa mahesabu ama hata tukianzia enzi za mababu,kwa walio na usaidizi bora kupunguza maana ni sawa na kuleta inzi kwa kutaka mateso kuendelea.
Katika kujua ni zaidi ukajua kuweka ,maana utawekewa na usijue lolote,pengine ujue kuwekewa lakini si kuweka , kwa wengine utasikia karibu wakikupa chombo wakijua unajua,pengine isiwe katika namna ya kutengeneza na tukajaribu kutafuta maana kwa mpangilio uliopangwa unachanganya sana,pengine haikupangwa vyema,ama hujajipanga,na ili uwekwe katika ubora na kiwango ni lazima kushukuru kwa hofu zote maana zaweza jirudia usijue kama ulipitia.
No comments:
Post a Comment