Pochi ni sehemu ya hifadhi katika yale mwanadamu anayoyaona anayaweza ikiwa katika kuweka ama umbile kwa namna ya kuleta muonekano mzuri,leo nasema ikiwa kwangu kesho kwako,maana kama itakuja leo kwangu,ikaungana na kesho kwangu basi jua zinazofuata ni zako tena mgawane maana hata katika pochi zimeisha,ikiwa za mfukoni hamzipendi kwani ni wazi sina usafiri na pengine ikawa ni chenji katika mizunguko.
Napenda pochi kwa hifadhi langu nililonalo,wanaopenda pochi ni kwa nafsi zao walizonazo,maana wengine hawatembei na pochi lakini kwa namna ya wenzao wanavyozipenda pochi zao ni hali ya kushangaza kwa kushindwa na hata kubembelezana,mara nyingine ni vigumu kutoka kwa lazima zaidi ya vile ilivyoandaliwa,ukiwa hauna namna ya ubebaji katika hitaji kwani pengine tukajadiri dini,maana na pochi zetu zahitaji Baraka zake.
Tusije tupiana lawama kwa yale yaliyovuruga amani,maana kwa pochi za malengo huaribu sana sherehe.nakupenda hata usiku nakuwaza,tena kama ingalikuwa ni nyimbo basi ningekupigia hata nyingi kusambaza,maana katika kuelewa namna ulivyokuja na kuondoka ukiwa mfuko umetoboka basi kwa wabeba kubwa ,watufichiee na zetu ndogo humo.
No comments:
Post a Comment