Unapofanya hivyo unasogeza namna ya kupokea vyema ikiwa
katika muda mwema,na katika vitu vya kuzingatia katika maisha yako pengine
ukatafuta mtu au watu mkawa mnashirikiana katika mambo mnayofanya na kukuta kuna
kusema maana vizuri vinakatisha tamaa kwa kuwa mwanzo unasemeka ni
mgumu,unapokuwa na lengo ni vyema kutumia na nguvu zako kwani katika baadhi nyingine ya
kuamini ikiwa nikutafuta na kutaka kujua wewe ni nani na pengine nini kilichopo
ndani yako.zile nguvu zako ndiyo zinaashiria undani wako.ikiwa ni kihalisia zaidi.
Leo utasema ya mwenzako lakini ya kesho ni yako,maana haukuyasema
jana,hiyo ikiwa ni namna ya kunyimana,pengine isifahamike kwamba hata ile iliyo
ndogo haipo,kwa iliyopo kuonekana kama ni nyingi kwani umejaribu japo
kujipendezesha na uturi pia,kesho inayokuja ndiyo hiyo ya hukumu yako,maana
wengi wametegemea samahani kutoka kwako.
Maisha yenyewe yako wapi?Ni usemi tumeusema,tumeuskia.hapo ukiwa umeona tofauti na kile
halisia maana kama ulinyimwa na ni bora kusema pengine wengine walijisahau.ndiyo
maaana ya kesho kuja na kusema samahani.unapojinyima una maana ya
kutengeneza,ama pengine ukanyima na kukuta unafanya mbadala wa kutengeneza yaani kubomoa ,hapo ikijengeka chuki,Chuki ni kama upendo maana upo katika maisha ya kila mmoja wetu,asiyekuwa nayo sasa ni kwa sababu ya muda na maisha yake.maisha yako ni tofauti na ilivyo.ni swala la kutambua tu.
No comments:
Post a Comment