Kupitia kutumika ama ilivyo kama inasemekana kuishi ikiwa ni
katika ngazi tofauti mwanadamu unapokuwa katika kuelekea mafanikio ya safari
yako,mengi husemeka na wengi pale mwanzo unapoanza,ikiwa ni maisha yako
inakupasa kabla ya kujipa tumaini la kujua kama ipo siku,kama mambo yalikuwa
tofauti basi yataenda utakavyo,maana nzuri yangu mimi ndiyo inayoweza kutuletea
ugomvi hasa ikaonekana kama nilipo ni mwanzo.
Kila mtu ana lake la mwenzako haipaswi kulinyemelea,safari
ni yako hasa zaidi kama imetokea umeifanya bila kujua unashuka kituo gani ni
bora kuuliza katika Yule unayeona umefanana naye kimaisha,pengine ukiwa unapata vyanzo vya kukufanya uweze lakini ‘kwa kuwa fulani kasema basi ile
itakuwa mbaya’,na ubaya wa safari unategemea na kujiandaa kwako pengine ukiwa
kama ulikuwa ni wakupanda milima alafu ukavaa suti,lazima kuonekane namna ya
kutokufikiri sahihi,isipokuwa mlengwa usipojilaumu juu ya safari yako.
Mengi yanapotokea hutokea ya kuwa ni rafiki ama ndugu hawa
wakiwa ni baadhi katika vile vinavyofanya safari ieleweke ipo katika namna
gani,haraka hufanya ajari na ikawa hata unywaji pombe kupita kiasi ni hatari
kwa afya yako,hatari ya safari imekuwa
baada ya safari yenyewe kuanza,fikiri uwezo wako maana wanaokatisha tamaa ya maisha
wapo karibu yako tena kila mtu akijifanya mjuaji,mtu unapojifanya unajua jua
unajua ya kwako ya mwengine mwache aende nayo kwani kujilaumu kwa kukosa hupewa
moyo na siyo mtu kaa mbali na kuwa makini na maisha ya mwenzako,kama huwezi
jambo hakuna faida ya maneno na wakati muda unataka kusema yake.
No comments:
Post a Comment