Hata usipozungumzia utaifa lakini kiwango cha maisha ya
mtanzania ni kidogo sana,hapa nikiwa nazungumza na watanzania wale walio na
ndoto na nchi yao,kwa pale wanapofanikisha yale wanayoyahitaji na hata ukafika
wakati wa kuyafanya kukuta wengine wameshayafanya hapo tumetofautisha
viwango,unaweza ukawa unajua kupumua lakini ukawa hujui kupumua vizuri,kwa vile
utakapoanza kutengeneza mazingira ya undai wako,ukitaka kitakachotoka ndiyo
kiwe chema,sio vile kwa sauti tu kusikia bali hata katika vile vyote vilivyo
ndani ya mwili,maana vyote vikiwa na maana ya kusikia nilivyosema.
Jua lengo lako katika lile unalololihitaji maana hapo ndiyo
kiwango chako kitaonekana ,maana uwepo wako na namna ya vile unavyowaza,ndoto
zina yale zinachoweza kufanya ndani yake maana yaweza kuwa unaishi ndoto
za watu,unalala na kuota yale ulio yatenda tkiwa mdogo unashindwa ofautisha
viwango,kumbe ilipaswa kutokea katika kiwango husika,lakini kwa Yule anayetaka kiwango kikubwa
kingine yeye ni lazima atajua pale ni kupanga na kuondoka na kiwango chako,kujua nini kile
ambacho ulikuwa unataka ulikuwa unasema hukijui,maana pengine hukufikiri na siyo
kuona kwa kushika tu vingine ni viwango vya watu.
Mda unalala watoto wameanza kupewa shukrani,maana ilikuwa ni
wajibu wao kuwasaidia wazazi.tena baba ndiyo alikuwa anasema hii ni familia
fulani tofauti na ya fulani ni kwa sababu ya viwango.
‘ukitaka kumshinda adui usimkorofishe’maana kila mtu atabaki
na kiwango chake,labda usiwe na viwango vyako!
2 comments:
UPO SAHIHI....!
ASANTE PAPAA ELINYO...
Post a Comment