Hapa maisha yamekuwa matamu,na muda mwigine mkojo ugeuke maji,hii ikiwa sio tu ya kutaka kupingana na maulana ,kwani mbona hata maji hufanya vile wezekavyo,nikiwa namaana,yanawezekana tu,ni kama pale njaa endapo haitazidi zaidi ya kuja maana iliyopo haijawa vile zaidi yawengine walivyofikiria .Waliowahi kufanya pengine hutamani tena,kama inarudiwa basi ni tamu,
na
kama itazoeleka na kuwa tabia kabisa basi hiyo
itakuwa kwenye damu,hapo
hakatazwi mtu kufanya lake
na asidhani ya kuwa
amekatazwa basi ni wivu,
vile
itakavyo kuwa katika mmoja akaichukulie mfano na kwa mwengine ikiwa tu kuna
kuamini au ipo na imeeleweka hivyo mengine yakaja kama
kushindwa,ni matokeo pia.
maana
kuna wengine hushindwa kweli na kutokujua kama
wameshindwa,wa
kwanza anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akafuatia kuwa wa pili,
hii
ikiwa ni kuna yale ya kukataa na kukubari,
sasa
katika chaguzi kila mtu naye akatakiwe kuwahi katika namna yake,maana
hata ukaweka muda haitaleta maana kwa wale wanaowai sana,achana
na hapa maana muda nimeuzungumzia kitambo sana
Pengine
haina haja ya kusema kuwa Fulani kasema kwani wamesema wengi na hata Fulani alisikia kwa Fulani,mabaya
yenye utambuzi hayapaswi kumkataza mtu zaidi ya kumwelekeza,ikiwa
unakata kulia na ukawasha indicator ya kuelekea kushoto hapo lazima tufanye
maajabu kutokea..kumbe
maajabu yapo hapa hapa,hata
haina haja ya kuwashaangaza wale wanoshangaa maana washangazaji hawajielewi kama ni kuchekwa au ni sifa zimelengea wapi.
Kipindi
cha kudanganyana sio cha leo,
kesho
inakuja na kwa namna tulivyojipanga kwa mazoezi hakika hadanganywi mtu,maana
ilivyokuja leo ni wazi ilikuwa haifahamiki kwani kilikuwa kinasomeka kitu
kingine,kumbe
chazamani kinaweza kuwa kipya,hapa
hata bila imani unashinda,
unapoamua
kushindwa utahesabika pale ulipotaka kushinda na ukashindwa kweli,maana
sio tu umeshindwa kwa kujiandaa kushindwa,
useme
utajua mwenyewe maana yakupigania yapo mengi hata usiyape idadi yakuwa yaliyoanza haukuyahesabu.
Embu acha ya kikubwa yakawa hivyo maana
walifanya mababa zetu hayo
No comments:
Post a Comment