Zaidi ya vile upendo wangu kwako,umezidisha nafasi na namna
ya kuweza,
umeniwezesha pale palipokuwa pagumu umenipa ujasiri hata wa
kutokukwambia,
maua mazuri yanamwagiliwa japo ulifanya kujimwagilia,
umekuwa kiongozi wa wale wengine na kwangu pia,
hakika ntakupenda daima,kuwa na mimi karibu zaidi nizidi
kuelewa,
ni mwanadamu gani asiye na hasira au za kwako usifanye mbele
yangu,
ni heshima tosha,ni ujumbe tosha,umefanya yaliyokutosha
haki akienda mtu tumwalakishe awahi maana nafasi
zinajaa,
watu wanataka kumiliki vyao ikiwa baadaye isiwe taabu,
usinifanye nilie
zaidi kwani yanatosha nasema tena,
nimekupenda kukupenda,nimefurahi
kukupenda,maana pengine hata kwa mwingine isieleweke,
tujaribu kuinuka
pamoja,tujaribu kuwa pamoja si kwa mda huo tu uliopangwa basi tuendelee,tukue,tuzidi
mapana yaliyokuwa na ncha,
yasiyokuwa hata isiwe kwetu wakali,
maisha kuyatoa kwa
mwana ni vyema kuliko kwa mwana,maana zikazalika ili jambo lile lije,ama kweli wewe
ni mama yangu,ama kweli wewe ndiye unanifaa kukupenda,
pengine ni muda wako,pengine
ilistahili kutokea kwa mara ya kwanza,
maumivu unayonipa si haba pale napojaribu
hata kushika simu na kukupigia,hapo ninakuwa nimekumiss yaani
kukumbuka,nakukumbuka sana mpenzi wangu,huwa nakukumbuka sana uwepo wetu wa
pembeni,maana huwa tunazungumza sisi tu,
sisi ndiyo kumetufanya tuwe
hapa,tumefika bila kujali vitu,ingawaje umekuwa kama ngao lakini ujasiri wa
kuyachukua maisha yangu pia umekuwa nao,maana asidanganye mtu kwa kusemea
mwingine,
fikiri hayo haraka kwa kuchagua wengine,
maana wa leo ndiyo asili,wa
leo ni wa leo tu,wa leo ndiyo ametimilisha haya,mama yangu mpenzi
umenikuza,baba yangu mpenzi umenilea,ndugu zangu wapendwa tumekuwa pamoja,
maana
kuna kukosea na tukasema pale ilikuwa vile na sio ulifanyaje kwa kutaka
kujua,umebaki lulu kwa yote,umekuwa dada yangu mpenzi,
sasa na milele ntazidisha mapenzi
No comments:
Post a Comment