Elimu ni kuweza kukua katika uelewa,hapo nikitaka wengi ama waliokusudika kufika mahala wanapopapenda,kwa
namna iliyo moja hadi nyingine ikiwa ni yoyote,kwa chochote kinachoweza kutokea
kulingana na mazingira yaliyopo ama vile nikayaita hayo yenyewe mazingira ni
elimu,elimu mtaani ni ‘experience’ tosha,inatosha kwa kusoma haya
yaliyopo mtaani maana ndiyo mwongozo ,kwani Yule anayekosa hukosa wapi?umetaka kufundishwa shuleni ukasahau makosa,umejifunza usiyoyajua na kuacha usiyotakiwa kuyajua,hatutakiwi kutenda makosa
Mtaa kwani wa
nani?hivi wengine hatupiti mitaa ile maana kuna wakabaji sana,imeitenga halisi kwa kutaka vya rahisi,leo
kabeni na mkiongezeka japo siku ifike arobaini na tano,maana arobaini zinapita sana,siku zinabadilika,yale yaliyomtaani kufahamika kama si ya kihalali,ikiwa watu hawana kwa kula wala kulala mahali,siwezi kuuliza ni lini itakuwa ‘graduation’ ya elimu yetu ya
mtaani,kwani kumekuwa na mafanikio,yasiyohitaji cheti.
Leo mitaa imejaa sana.tena hapa haijatofautishwa kwa vile
wale ni wazee ama ni vijana,au watoto imetutaka kusoma pamoja maana kinachofanyika
ni kile kimoja na haina haja ya kukosea kwa kufanya vile ilivyo tofauti na
mkubwa wako,maana tofauti hiyo ni ‘experience’jaribu uone ili kufikisha taarifa
katika mitaa,maana sio kuonekana tu hadi kufikirika,utakuwa ni mtu wa hivyo
maana ikawa unatofautisha mtu aliye na 'certificate' na Yule asiyenacho,elimu
mtaani haina mwisho,elimu mtaa haijali muda wala umri hata mzee wa miaka mia
anaweza kuwa darasa la kwanza,ni kwa sababu madarasa hupanda na kushuka,leo kwako na kesho kwangu.
No comments:
Post a Comment