Naona ubadirishe namna ya kutawala pengine unaowatawala
wakaelewa wanatawaliwa na nini,pengine nani maana haina haja ya kusemea
gizani.nilipotizama baadhi ya matendo yake nilishtuka kwa kuona,ni
kweli maovu kwa kujua mema unayotizamia wewe,pengine mimi ni wewe lakini siwezi
kuwa wewe,maana inahitajika wewe kuwa mwenyewe,kwa mtazamo wangu ni kheri kila
mtu akafikiria lake maana maswali yanakuja kutupa majibu ya ulipotizamia.
Ningejenga barabara mbili za juu na chini,hizo zipo sawa kwa
mtizamo wangu ni kheri ungekamilisha hizi za chini kwanza,hapa si unajua unachokifanya sio kugombeza kwa mtazamo wangu ni kueleza,kwa maana pengine
watasema ‘alisema’. Sisi tumepita lakini wao wanokuja patachimbika sasa ni
vizazi vinavyotembea na tufikiri unapotafuta unamtafutia nani kwa maisha ya mtanzania sio ya kulala njaa labda
uwe umeathirika kimanzingira.
Hivi kesho nitajali zaidi mtazamo wangu kwa kuwa na wako
tofauti,basi fikiri kutenda ukizubaa subiri kalenda,maana ya kuyaona
hayaeleweki ya mwengine kuliko yako,yasiyoeleweka kusemeka kueleweka,watu na
wenyewe hawaelewi mitazamo yao wanachotaka ni kile walichokuwa nacho
chao.pengine jumapili njema ni ile ya
kuisemea jana,pengine tukiwa na mapenzi huku tukimsujudu maulana.namshukuru
baba kwa hiyo mitazamo ya maana.
No comments:
Post a Comment